Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
Advertisement


Thursday, January 08, 2009 12:27 PM

CHANJO ya majaribio ya ugonjwa kipindupindu inatarajiwa kuanza mwezi huu huko Zanzibar
Chanjo hiyo ambayo ni ya kwanza nchini katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inalenga kuhakikisha kuondoa ugonjwa huo katika maeneo sugu yanayokumbwa na ugonjwa huo mara kwa mara.

Mkurugenzi wa Afya na Ustawi wa Jamii, Zanzibar, Juma Rajabu, aliyataja maeneo ambayo sugu ikiwemo na Karakana, Chumbuni, na Mtopelo ambayo yapo Unguja, kwaupande wa Pemba ni Kengeja, Koja na Mwambe.

Alisema jumla ya watu elfu 50 wanatarajiwa kupata chanjo hiyo, awamu ya kwanza inatarajiwa kuanza Januari17 hadi 22 mwaka huu. Na awamu ya pili inatarajiwa kuanza Februari 7 hadi 16 mwaka huu

Mkuu wa kampeni hiyo kutoka Wizara ya Afya, Abdulhamid Ameir, amesema kuwa chanjo hiyo itakuwa tofauti na chanjo nyingine hii itakuwa inajumuisha watu wote isipokuwa wanawake wajawazito tu.

 
Na Chondomda Shabani, Dar es Salam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment
No comment added
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD