|
Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD |

|
Wednesday, February 12, 2014 6:44 AM
SAKATA la matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD), limechukua sura mpya baada leo mgomo kuingia siku ya tatu mfululizo kwa wafanyabiashara kutofungua maduka yao katika mikoa mbalimbali likiwemo Dar es Salaam. |
Mikoa iliyoripotiwa kugogma ukiwemo IRinga, Songea, Mara, Kigoma, Mbeya, Mwanza, Dar es Salaam kwa pamopja wameanza mgomo huo juzi kugomea mamunuzi ya mashine hizo wanazodai ni gandamizi kwao.
Wafanyabiashara hao wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufikiria upya mfumo wa kuzitumia, vinginenyo watajikuta wanaingia kwenye mgogoro mkubwa baina yao.
Wafanyabiashara hao wametangaza mgomo usio na kikomo kwa sababu mashine hizo zinawasababishia hasara.
Vinginevyo mashine hizo wazitoe bure wafanyabiashara hao walishauri Serikali ili kujijenga kibiashara badala ya kufilisika.
Hivyo kutokana na mgomo huo wananchi wamekuwa wakihangaika kutafuta mahitaji huko na huko na wengine wamekuwa wakigonga mwmba kutokana na kutofunguliwa kwa maduka
|
|
Na MWandishi Wetu, Dar
|
|
|
|
|
Mtoa Maoni:
rizi
Thursday, February 13, 2014 00:06:08
|
|
Mtoa Maoni:
rizi
Thursday, February 13, 2014 00:07:09
|
|
Mtoa Maoni:
david julius
Thursday, February 13, 2014 13:24:53
|
|
Mtoa Maoni:
NAITWA D0TO NYUNZA NIKWELISABABUNIMUZULI
Wednesday, March 05, 2014 16:40:34
|
|
Mtoa Maoni:
Rehema
Tuesday, April 08, 2014 09:59:10
|
|
|
|
|
Jumla kuna maoni (13), Soma maoni yote |
|
|
|
Habari zaidi za Tanzania |
...Habari Zaidi
|
|
|