Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA

NewsImages/7107574.jpg
Saturday, February 08, 2014 7:30 AM
ASKARI Polisi namba F.5264 PC Sabato (37), amefariki dunia baada ya kujeruhiwa na mahabusu kwa kupigwa na jiwe kichwani wakati akimrudisha gerezani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema tukio hilo lilitokea Februari 4, mwaka huu majira ya saa 5 usiku.

Kamanda huyo alifafanua kuwa, mtuhumiwa huyo Njoke Kiripi [34] alikuwa akikabiliwa na kesi ya uvunjaji wa nyumba katika Mahakama ya Wilaya ya Longido.

Alisema askari huyo alikuwa akimraudisha mtuhumiwa huyo katika Gereza la mkoa Kisongo kwa miguu wakitokea mahakamani.

Kwa madai ya kuwa gari la Magereza lilikuwa limeshaondoka kurudi mjini hivyo mahakama kumtaka askari huyo amrudishe mahabusu huyo gerezani kwa kutumia usafiri wa daladala.

Kamanda alifafanua kuwa, wakati wakielekea gereza hilo wakiwa ndani ya daladala mtuhumiwa huyo alimuomba askari huyo washuke chini ili aweze kujisaidia haja ndogo na askari huyo alifanya hivyo na waliposhuka alimfungua pingu mkono mmoja ili ajisaidie.

Mara baada ya kufunguliwa pingu hiyo ghafla mtuhumiwa huyu aliinama chini na kuchukua jiwe kubwa na kumpiga nalo polisi huyo kichwani na kupoteza fahamu papohapo.

Askari huyo alikimbizwa Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru na hakufanikiwa kupona na mazishi yake yanaandaliwa kuuridhsa mwili Ukerewe Mwanza kwa mazishi kamanda Sabas alisema.

 
Na Joyce Dunstan, Arusha    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Sunday, February 09, 2014 17:11:40   
 
Huyu mtuhumiwa pengine alikua anataka kutoroka kifungo cha uhalifu mdogo ambao ni wizi, sasa atakabiliwa na kosa la uuwaji.

Kwa bahati mbaya watu wengi wanaponza maisha yao kwa kuogopa umaskini au nyadhifa zao na kuangukia pabaya. Kumbe angesubiri angekaa miaka au miezi kadhaa tu na hatimae angetoka jela.

TUJIFUNZE KUTOKA KWENYE VITENDAWILI VYA MAISHA.

Serikali nayo inajukumu kubwa la kumlipa huyo askari alietenda wema. Tunawaombea subira wafiwa.

 
 
Mtoa Maoni: tambwe k tambwe    Monday, February 10, 2014 15:00:05   
 
serikali inabidi iangalie upya swala la kurudisha watuhumiwa gerezani
 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Thursday, February 13, 2014 18:34:36   
 
Suala la kurudisha mfungwa kwa usafiri usio rasmi ni jambo la kawaida.inategemea na kosa alilofanya.Mfano angekuwa Sheik Ponda angepelekwa kwa helikopta kutokana na uzito wake katika jamii
 
 
Mtoa Maoni: z.s    Wednesday, February 19, 2014 11:53:34   
 
mungu ailaze roho ya marehemu peponi amina
 
 
Mtoa Maoni: z.s    Wednesday, February 19, 2014 11:53:37   
 
mungu ailaze roho ya marehemu peponi amina
 
 
       Jumla kuna maoni (26), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD