Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Tuna sifa za kukopa -Waziri

NewsImages/7104682.jpg
Sunday, February 02, 2014 7:49 AM
LICHA ya kuwepo kwa deni kubwa la Taifa Waziri wa Fedha amesema serikali itaendelea kukopa kwa sababu bado ina sifa za kukopa kwa kuwa kiwango cha deni ni asilimia 28 wakati ukomo wa kukopa ni asilimia 50.

Amesema serikali ya Tanzania ni lazima ikope itakopa fedha kwa masharti nafuu kwani bado ina sifa.

Amefafanua fedha zitakazokopwa zitatumika kwenye miradi ya maendeleo ya miundombinu zikiwemo barabara, reli, bandari, bomba la gesi.

"Ni kazima tukope hata kama daeni ni kubwa, deni linalipika na si tukome kukopa lahasha" Waziri

 
Na MWandishi Wetu, DAr    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Sunday, February 02, 2014 16:39:19   
 
Nimeshawahi kusikia kua, kuna kabila la watu fulani (sipendi kudia jina lao), ya kua hujipofua macho ili waweze kuomba-omba barabarani. Na wtu wengine hujiachia madonda makubwa ili watu wawaonee huruma pale wanapo omba hela barabarani.

Kama ni kweli, basi taifa letu pia halina tofauti ya mithali hii.

NA MADHARA YAKE, NI KUSUBIRI UDHALILI MPAKA REHMA YA ALLAH ITUSHUKIE.

 
 
Mtoa Maoni: One nation    Thursday, February 06, 2014 21:52:10   
 
Ikumbukwe kwamba huwez kupata maendeleo ukiwa huna Uhuru,na madeni ni kifungo tosha cha uhuru wa nchi yoyote.Baba wa taifa aliwahi kusema huwezi kuendelea kwa pesa za misaada.Hiv haya madini yana chimbwa kwa faida gani,maziwa banedari,na mbuga zetu zina faida gani,au ni kwaajili ya watu wachache?,kwani TZ ina wingi wa watu kiasi gani cha kusema rasilimali za nchi zisitosheleze wingi wa raia wake,jamani viongoz oneni aibu na muwajibike sambamba na wanchi hii ni aibu,ni lini tutajitegemea?.
 
 
Mtoa Maoni: Elias Martin Wa Darasa La 5 Shule Ya Msingi Osteti    Thursday, March 06, 2014 12:39:53   
 
Jaman tuwe na mtazamo wa hapo baadaye maana kama sisi bado ni wadogo je mpaka tufikie kushika nchi yetu kimadaraka mambo yatakuwaje? tuoneeni huruma sisi watoto wenu.
 
 
Mtoa Maoni: matias yamay's    Thursday, March 06, 2014 12:45:36   
 
hapo cjui mnajenga nchi au mna bomoa mimi sijui ila fanyeni mnavyotaka ila siku moja hayo maneno yenu yatamfanya "nyoka"atoke pangoni .
 
 
Mtoa Maoni: The answer of an expetr. Good to hear from you.    Monday, November 23, 2015 17:41:40   
 
The answer of an expetr. Good to hear from you.
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD