Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA

NewsImages/7102754.jpg
Sunday, February 02, 2014 7:00 AM
ASKARI WATANO wa JEshi la Polisi Tanzania wamefariki dunia papohapo baada ya gari lao kugongana uso kwa uso na basi la abiria huko Dodoma.
Askari hao walifariki dunia baada ya gari lao aina ya Toyota Corola iliyokuwa T770 ABT kugongana na basi la abiria la kampuni ya Mohamed Trans.

Akithibitisha ajali hiyo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime amesema, ajali hiyo ilitokea majira ya saa 9 usiku wa kuamikia leo katika kijiji cha Namtumba mkoani Dodoma.

Wakati wa ajali hiyo gari ndogo ya polisi iliburuzwa na basi hilo umbali wa mita 152 na kupelekea askari wotew aliokuwa katika gari hilo kufariki dunia

Amesema katika basi hilo hakuna aliyejeruhiwa na kudai chanzo cha haraka kilichosababisha ajali hiyo ni mwendo kasi.

Miili hiyo imehifadhiwa hospitali kusubiri taratibu za mazishi.


 
Na Mwandishi Wetu. Dom    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: philemon molel    Sunday, February 02, 2014 18:45:14   
 
napenda kuwapa pole jeshi la police pamoja na familia yao mungu awafariji sana
 
 
Mtoa Maoni: www.rusumo.net    Sunday, February 02, 2014 19:39:55   
 
Poleni sana mliofiwa.
Pumzikeni kwa amani polisi wetu. Jamani ni muhim sana kuendesha kwa makini. Haraka haraka haina baraka.

 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD