Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya

NewsImages/7101790.jpg
Rais Kikwete
Tuesday, January 21, 2014 12:05 AM
KATIKA uteuzi huo Rais Kikwete hakugusa wizara na mawaziri wake kabisa ambazo ni
Wizara ambazo hazikuguswa ni Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Uchukuzi, inayoongozwa na Dk. Harrison Mwakyembe na Naibu wake ni Charles Tizeba; Ujenzi, Dk. John Magufuli amebaki na Naibu wake, Gerison Lwenge.

Nyingine ni Wizara ya Kazi na Ajira, ambayo waziri wake ni Gaudencia Kabaka na Naibu wake ni Dk. Makongoro Mahanga.

Pia ni Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ambayo itaendelea kuongozwa na Prof. Makame Mbarawa na Naibu wake, Januari Makamba huku Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki ikiendelea kuongozwa na Samuel Sitta na Naibu wake Abdullah Juma.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatiafa itaendelea kuwa chini ya Bernard Membe na Naibu wake, Mahadhi Juma Maalim.AMBAO HAWAKUGUSWA KABISA

Mawaziri ambao hawajaguswa na mabadiliko hayo ni Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe; Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Naibu wake Stephen Masele na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa.

Wengine ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda; Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka; Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza na aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

Wengine ni mawaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (Mahusiano na Uratibu); George Mkuchika (Utawala Bora); Prof. Mark Mwandosya (Kazi Maalumu) na Celina Kombani (Menejimenti ya Utumishi wa Umma).

Upande wa ofisi ya Waziri Mkuu mawaziri wote wamebaki, Mawaziri hao ni Dk. Mary Nagu (Uwekezaji na Uwezeshaji); William Lukuvi (Sera, Uratibu na Bunge); Hawa Ghasia (Tamisemi) na Naibu wake, Aggrey Mwanri pamoja na Kassim Majaliwa (ELimu)


Zilizofanyiwa mabadiliko ya manaibu Waziri ni Charles Kitwanga, anayekuwa Naibu Waziri wa Nishati akitokea Ofisi ya Makamu wa Rais; Amos Makalla anayekuwa Naibu Waziri wa Maji akitokea Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

WALIOHAMISHWA WIZARA

Wengine ni George Simbachawene, ambaye amehamishiwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwa Naibu Waziri na akitokea Wizara ya Nishati na Madini.

Aidha, Katika uteuzi huo, aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, amepandishwa na kuwa waziri

Saada Salumu kutoka Naibu waziri wa Fedha hadi waziri kamili

 
Na Mwandishi Maalum, Ikulu    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Remmy    Tuesday, January 21, 2014 00:31:31   
 
Hongereni mlio chaguliwa, na ninawaomba mumuige waziri John Magufuli nanyi muwe wachapakazi kama yeye.
 
 
Mtoa Maoni: dija     Tuesday, January 21, 2014 10:42:18   
 
Hongera wote lakin iswe hongera tu kuwap na nyinyi muoneshe uachapakazi ,uaminifu ,ukwelina uawajibikaji ili kukuza maendeleo ktk nchi

 
 
Mtoa Maoni: AUGUSTINO    Tuesday, January 21, 2014 15:28:00   
 
tunaomba mtusikilize tunavyo vihitaji siyo kula kuku tu sawa?
 
 
Mtoa Maoni: u    Wednesday, January 22, 2014 10:52:32   
 
Mweshimiwa Raisi umesahau kusafisha wizara 2 ya maji na elimu kuna shida ebu wachungulia kwa miwani yako Utaona kitu ikoshida hapa.
 
 
Mtoa Maoni: john muro    Sunday, January 26, 2014 14:53:17   
 
Tuiombee nchi yetu isonge mbele MAWAZIRI CHAPENI KAZI TUENDELEZE INHI YETU VIWANDA ELIMU,AFYA N.K KILA LA HERI
 
 
       Jumla kuna maoni (7), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD