Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
SURA MPYA

NewsImages/7100826.jpg
AshaRose Moja ya mawaziri wapya walioteuliwa jana
Monday, January 20, 2014 11:58 PM
Katika uteuzi huo mpya wa Rais sura mpya nazo zimeingia ambapo awali hazikuwepo katika baraza teule.

Wapya waliyoingia katika baraza jipya akiwemo Dk. Asha-Rose Migiro ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Kamani Ole Telele na Mgimwa .

Mwingine ni Mwigulu Nchemba ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara.

Sura zingine mpya ni Jenista Mhagama[Mbunge Peramiho CCM] ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Dk. Pindi Chana [Mbunge wa Viti Maalum], ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,.

Godfrey Zambi[Mbunge Mbozi], anakuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.

Mwingine ni Juma Nkamia [Mbunge wa Kondoa Kusini], anakuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

Nkamia kabla ya kuwa mbunge aliwahi kuwa Mwanahabari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), lakini pia amefanya kazi Voice of America Marekani.

Dk. Kebwe Stephen Kebwe anakuwa Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

 
Na MWandishi Wetu, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Bernard Maira    Tuesday, January 21, 2014 19:52:22   
 
Ni mabadiliko tu ambayo yalikuwa yafanyike na has a unapokuwa na watendaji dhaifu wasiotambua matakwa ya jamii kwa muono wangu ile cheini ya uzembe isiishie kwa mawaziri turn bali kwa watendaji wa chini waliojificha nyuma ya vigogo walioondolewa so ajabu Hawaii ndo wameibua Haya yote JK kaza but I kwa wazmbe wrote.
 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Friday, January 24, 2014 18:02:04   
 
Ni sawa na mvinyo ule ule tu lakini unachobadilisha tu ni chupa yake.Lakini kwa Asha-Rose-Mtengeti-Migiro hapa sina Inda yeyote huyu ni mzoefu wa mambo ya kimataifa na ni msomi mweledi
 
 
Mtoa Maoni: Shukuru basana     Saturday, February 01, 2014 10:58:59   
 
Tuwaache ma waziri wachape kazi kwnn kutanguliza h ofu
 
 
Mtoa Maoni: HiSugbsBZ    Tuesday, July 01, 2014 11:54:47   
 
Free info like this is an apple from the tree of knegeldwo. Sinful?
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD