Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani

NewsImages/7099862.jpg
Rais Kikwete
Monday, January 20, 2014 11:45 PM
RAIs Kikwete katika uteuzi wake mpya wa baraza la mawaziri amewaondoa kabisa wengine ambao walikuwepo katika baraza la awali.


Waliong’olewa na kuondolewa kabisa katika baraza hilo akiwemo na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Huvisa, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Godlucky Ole Medeye, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole Nangoro na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Theu.
 
Na Mwandishi Maalum, Ikulu    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Remmy    Tuesday, January 21, 2014 01:18:00   
 
Rais nakuomba, hawa ulio teua, walio badilishwa nahata walio bakia, atakae leta uzembe, tumua haraka iwezekanavyo kabla ya madhara. Yaani timua kabisa kabisa. Uwaziri iwe ndio basi na hatua zichukuliwe nasio kubadilishwa na kwenda kuharibu na huko kwingine. Kwavile mtu kama ni goigoi, hata umhamishie kwingine, bado ataendelea kufanya vitendawili tu. Na wakati wa vitenda wili ulisha pitwa na wakati.
 
 
Mtoa Maoni: neem    Wednesday, January 22, 2014 02:41:41   
 
Mimi naona kazi ya waziri wa Mambo
ya ndani ni kazi ngumu sana sio
kazi ya mchezomchezo pamoja na ya
waziri Mkuu sio kazi za hivi hivi
ni kazi ngumu sana,kuchunga watu
milioni 45 sio mchezo. Lazima hao
viongozi wawe wakali sana kwa kazi
zao ndio wataweza,wakiwa wapole na
wenye huluma watashindwa,wananchi
watawashinda,nawao watashindwa kazi zao nakuabulia kufukuzwa.Wawe
wakali sana kama Singapor,serikali
yakule usicheze,hata kutupa takataka ovyo utakiona Kila mtu ni
seculity au Police .

 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Friday, January 24, 2014 17:57:54   
 
Ukiona mtu ananunua nguo baada ya muda anaanza kushona viraka haujapita muda anaanza kuwekaweka viraka basi huyo mtu ni wa kumfanyia uchunguzi zaidi kuhusu tatizo alilo nalo katika uchaguzi wake wa nguo za kuvaa
 
 
Mtoa Maoni: jonh ndelwa    Saturday, January 25, 2014 19:04:21   
 
Mimi naona ubabaishaji .kwasababu uchaguzi unakaribia
 
 
Mtoa Maoni: john muro    Sunday, January 26, 2014 14:59:14   
 
CHEO NI DHAMANA
 
 
       Jumla kuna maoni (7), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD