Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
13 wapoteza maisha katika ajali -Singida

NewsImages/7097934.jpg
Ajali hiyo pichani
Monday, January 20, 2014 11:34 PM
WATU 13 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia kugongana kwa magari huko Itigi mkoani Singida.

Gari aina ya Noah lililokuwa limebeba watu hao liligongana uso kwa uso na lori na kupelekea vifo hivyo.

Ajali hiyo imetokea leo eneo hilo ambapo lori hilo limedaiwa lilikuwa likitokea mkoani Mwanza na kuvaaana uso kwa uso na gari hiyo.

 
Na MWandishi Wetu, Singida    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: pedahel    Tuesday, January 21, 2014 10:29:47   
 
Idara ya polisi traffic inakazi gani kwa nini badala ya tochi za kupima mwendo zisiambatane na vipima ulevi maana drivers huendesha wakiwa walevi wanamimina viroba ktk chupa za maji na huzidi kulewa kadri safari inavyozidi kuwa ndefu
 
 
Mtoa Maoni: Donald Nicholau    Tuesday, January 21, 2014 15:12:26   
 
Naishauli idara ya usalama balabalani ichukue hatua kali za kisheria dhidi ya madereva wazembe
 
 
Mtoa Maoni: Donald Nicholau    Tuesday, January 21, 2014 15:12:39   
 
Naishauli idara ya usalama balabalani ichukue hatua kali za kisheria dhidi ya madereva wazembe
 
 
Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Tuesday, January 21, 2014 20:09:22   
 
Sababu zinatofautiana, lakini umauti ni mmoja.

Muda sio mrefu uliopita treni kadhaa zimeua watu wengi Ulaya na Canada. Zingine ziliwaka moto ghafla, zingine zika tembea zenyewe ghafla, na zingine ziliacha njia.

WE JITAYARISHE TU.

Lakini haina maana tujiue kiuzembe. Kama kifo kina weza zuilika wangebaki wanao lindwa na mabunduki, na kuzingirwa na madaktari kumi kumi wanapoumwa.

 
 
Mtoa Maoni: SALUM SHABANI    Thursday, January 23, 2014 10:17:23   
 
SHERIA ZINAZO PITISWA NA BUNGE KWANINI HATUONI ZIKITUMIKA . MFANO .UVUTAJI SIGARA.GARI YA ABIRI KUWEKA MAFUTA NA ABIRIA
 
 
       Jumla kuna maoni (13), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD