Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI

NewsImages/7096006.jpg
Monday, January 20, 2014 11:28 PM
Watu 9 na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la abiria kupinduka mkoani Lindi kutokana na kutaka kulikwepa lori walilokuwa wakipishana nalo eneo la ajali.Basi hilo la kampuni ya Alhamdulilah linalofanya safari zake kati ya Mtwara Dar es salaam.

Ajali hiyo ilitoekea eneo la Mambulu
mkoani Lindi majira ya mchana leo.

Imedaiwa chanzo cha ajali ni basi hilo kupishana na lori na kupoteza mwelekeo na hatima yake kupinduka kutokana na utelezi uliokuwepo uliotokana na mvua iliyokuwa ikinyesha mkoani humo.

 
Na Mwandishi Wetu, Lindi    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: dija    Tuesday, January 21, 2014 10:51:35   
 
ha!poleni sana jamani

 
 
Mtoa Maoni: ismail mussa    Tuesday, January 21, 2014 11:08:28   
 
poleni wafiwa na majeruhi mtapata naafu ishallahh
 
 
Mtoa Maoni: ismail mussa    Tuesday, January 21, 2014 11:13:02   
 
wao leo kesho sisi hvyo ni kuongeza maombi kwa Allah ...Makota.Com
 
 
Mtoa Maoni: Ismail Rashidi     Tuesday, January 21, 2014 12:09:04   
 
mungu awalaze mahali pema peponi.........watanzania wenzangu naomba tuungane 2waombee nduguze2 waliobakia wapate afya njema.......

 
 
Mtoa Maoni: Zawadi Ahamadi    Tuesday, January 21, 2014 12:50:01   
 
E..... mwenyezi mungu walazemaalipema peponi A.... 2zidikuwaombeaya
 
 
       Jumla kuna maoni (17), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD