Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake

NewsImages/7095042.jpg
Rais Mstaafu Benjamini Mkapa akimkabidhi vitabu hivyo Rais Kikwete
Thursday, January 16, 2014 12:08 AM
RAIS MSTAAFU wa awamu ya Tatu Mh. Benjamini Wiliium Mkapa amemkabidhi vitabu vya hotuba zake alizokuwa akihutubia kipindi cha utawala wake.

Leo asbubuhi mstaafu huyo alimkabidhi vitabu hivyo Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Vitabu hivyo ni nakala ya hotuba zake zote alizozitoa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa kumi nchini Tanzania.

Vitabu hivyo vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota.

 
Na MWandishi Wetu, DAr    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Uncle D    Friday, January 17, 2014 12:23:35   
 
Sasa na wewe mh Kikwete uje ufanye hivo ukimaliza ungozi wako.Pia tunaomba ufanye utaratibu tupate hotuba zote za baba wa taifa toka kugombea uhuru kuwa raisi mpaka kustaafu ikiwezekana na picha zake za video zote za hotuba zake

 
 
Mtoa Maoni: Fares Evarist    Monday, January 20, 2014 08:27:50   
 
Rais mstafu nampongeza sana kwa utarati huo
 
 
Mtoa Maoni: Mkweli    Monday, January 20, 2014 14:07:36   
 
naomba pia wawakabidhi mali zote za watanzania walizozichukuwa wakati wa utawala wao ili tuwasamehe. Hizi hotuba sisi hazitusaidia kwa kuwa maisha magumu. Mzee mkapa twambie madimi na fedha zetu umeweka wapi na uje umkabidhi raisi kikwete nahisi huu ndio utaratibu mzuri
 
 
Mtoa Maoni: Davis Makundi    Monday, January 20, 2014 16:29:53   
 
Kwa hotuba za Mh. Mkapa hakika zitapata wahitaji kwani kila alipokuwa akitoa hotuba watu wengi walikuwa wakijitokeza ama kwenda kusikiliza, kufuatilia na pia kuzijadili kwa kina. Hongera sana Mh. Mkapa.
 
 
Mtoa Maoni: MTAFUTA-UKWELI    Tuesday, January 21, 2014 20:19:33   
 
Mkweli, mbona listi yako ndogo. Walio uawa kwa kushiriki kisiasa Pemba je? Hata wao wangependa sana kurudishiwa haki zao. Mimi nahisi vitabu vingi sana vita fuata kujibu hotuba zake.
Hivyo nampongeza kwa kuweka wazi yale alioyasema, wakati vitendo vilikua vinaongea mengine.

 
 
       Jumla kuna maoni (9), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD