Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto

NewsImages/7094078.jpg
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda
Thursday, January 16, 2014 12:04 AM
JUMLA ya watu wapatao 15 na majeruhi kadhaa wameuawa katika mgogoro wa ardhi baina ya wafugaji na wakulima huko Wilayani Kiteto mkoani Manyara.
Idadi hiyo ya vifo imetokana na vita takatifu baina ya wakulima na wafugaji katika wilaya hiyo.

Imedaiwa wafugaji jamii ya Kimasai walivamia vitongoji vya Laitimi na Lemenya ambavyo vipo katika hifadhi ya mbuga ya Embroi Murtangosi na kuanza kuchoma moto vibanda vya wakulima na kuwapiga kwa kutumia silaha na kuwaua.


Wamefanya vitendo hivyo ili wakulima hao waondoke maeneo hayo ili wabaki wafugaji jambo ambalo limedaiwa wote wanatakiwa wasiwepo kutokana na tamko la mkuu wa wilaya.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo, aliwataka wafugaji hao na wakulima hao watoke katika hifadhi hiyo.

Mgogoro huo ulianza mwaka 2006, unatokana na wafugaji na wakulima kugombea ardhi kwenye eneo hilo.

Kufuatia vifo hivyo Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekwenda Wilayani humo kutafuta suluhu ya mapigano baina ya wakulima na wafugaji.

 
Na Joyce Dunstan, Arusha    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: neem    Thursday, January 16, 2014 02:04:32   
 
Vita kama hivyo tunavisikiaga kenya mwani Kati ya wapokoti etc
sasa na waTanzania munaanzisha vita kama vile.Tunaelekea wapi??
Serikali iga kwa nchi zilizoende-
lea sio wananchi Kila kukicha ugonvi na watu kuuwana,wenzetu wanatenga hii ni sehemu ya wakulima tu hakuna mifugo kwenda
uko,hii ni sehemu ya mifugo tu
hakuna wakulima kusogelea uko na
kulima,watajiri wananunua maplot
ya mashamba ya kulishia wanyama wao bila kubugudhiwa na watu wanajenga fence wanaweka ngòmbe
farasi etc.TZ vipi?

 
 
Mtoa Maoni: IBRAHM    Thursday, January 16, 2014 09:23:29   
 
Mi naona hao viongozi kiteto wana mifugo yao huko ndo maana wakashindwa kutatua migogoro
 
 
Mtoa Maoni: ANTON KIMENA    Thursday, January 16, 2014 12:18:28   
 
Serikali ikumbuke maneno aliyosema Rais Mseveni wa Uganda siku ya sherehe ya mapinduzi Zanzibar.Rasilimali kubwa ni watu, hivyo kama damu ya wakulima Kiteto inamwagika kumbukeni kuna siku itakuwa hatari zaidi ya hii. Watu wamepoteza maisha kwa uzembe wa kuto chukua hatua mapema.Dalili zilianza kujitokeza mapema kabisa lakini viongozi husika wakafumba macho na kuziba masikio.Je huo ni utawala bora au bora utawala.VIONGOZI WETU ACHENI KUKAA MAOFISINI NENDENI VIJIJINI KUTATUA KERO ZA WANACHI
 
 
Mtoa Maoni: JUMA EVARISTY    Friday, January 17, 2014 08:05:10   
 
hii ni hatali kama kama mgogoro wa mda mrefu una shindwa kutatuliwa mapema mpaka unasababisha watu wanapoteza maisha. Sasa basi kwa familia zilizo poteza ndugu zao watasaidiwaje.?
 
 
Mtoa Maoni: Lucas Gidion Lembile    Tuesday, January 21, 2014 14:16:34   
 
Vita hii ni kuanzia 2006.je kama amri ilitolewa wafugaji na wakulima waondoke,kwanini amri hiyo haikutekelezwa? Mpaka sasa tumeshapoteza ndugu zetu wengi wasiona hatia? Ushauri wangu Serikali ichukue mkondo wake wakamatwe wote.
 
 
       Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD