Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

NewsImages/7093114.jpg
Basi la Matei lililounguzwa na wananchi baada ya kuua watoto hao
Friday, January 10, 2014 10:42 AM
WATOTO watatu wa familia moja wamefariki dunia baada kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida Mkoani Singida.

Watoto hao kwa pamoja walikwua wamepanda pikipiki lililokuwa likiendeshwa na baba yao walipokuwa wakienda shamba.

Basi hilo lilikuwa linatoka mkoani Singida kwenda Arusha liligonga pikipiki hiyo kwa nyuma wakati ikiwa inakata kona .
Akithibitisha ajali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela, amesema ajali hiyo ilitokea jana.

Amesema wananchi baada ya ajali hiyo waliamua kujichukuliwa sheria mkononi na kuamua kulichoma moto basi hilo baada ya dereva aliyetajwa kwa jina la Dismas Ludovick kukimbia.

Watoto waliokufa katika ajali hiyo ni Stamili Shaban, Kasim Shaban amabao waliofariki eneo la tukio na Hamza Shaban alifariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Singida.
 
Na MWandishi Wetu, Singida    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: JUMA KAMINDA    Friday, January 10, 2014 13:49:01   
 
WANANCHI TUACHE KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI TUIACHE SERIKALI ITOE MAAMUZI
 
 
Mtoa Maoni: JUMA KAMINDA    Friday, January 10, 2014 13:51:50   
 
WANANCHI TUACHE KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI TUIACHE SERIKALI ITOE MAAMUZI
 
 
Mtoa Maoni: JUMA KAMINDA    Friday, January 10, 2014 13:54:10   
 
WANANCHI TUACHE KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI TUIACHE SERIKALI ITOE MAAMUZI
 
 
Mtoa Maoni: JUMA KAMINDA    Friday, January 10, 2014 13:55:24   
 
WANANCHI TUACHE KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI TUIACHE SERIKALI ITOE MAAMUZI
 
 
Mtoa Maoni: dija     Friday, January 10, 2014 14:03:33   
 
hivy ndivyo wanavyotaka madereva mana wao kuuwa wanaonana ni masihara tu jamn wao wapiga misere wenzao wameshakufa
 
 
       Jumla kuna maoni (23), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD