Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Watatu wakamatwa kutekwa kwa Yona wa Chadema

NewsImages/7092150.jpg
Kamanda Kova
Friday, January 10, 2014 10:38 AM
WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Mwenyekiti wa Chadema wilayani Temeke, Joseph Yona.

Watu hao ni wamedaiwa ni wale waliyomteka na kumtesa Yona na baadae kwenda kumtupa katika ufukwe wa Ununio Kunduchi mwanzoni mwa juma hili.

Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Suleiman Kova amesema, watu hao kwa sasa wanahojiwa na baadae kufikishwa mahakamani.

Yona aliokolewa na wasamalia wema waliyomuona katita fukwe hiyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Yona alitekwa saa 5 za usiku alikuwa ameketi na vijana wanne wa Tawi la Chadema la Ukombozi na kwamba ghafla walijitokeza watu kama sita ambao walimnyanyua kwa madai kuwa alikuwa anatakiwa polisi alipoingia kwenye gari alianza kupata kipigo na baadae kutupwa katika ufukwe huo

 
Na Waandishi Wetu, Polisi    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Friday, January 10, 2014 14:21:45   
 
Saidi Mwema kaondoka, sasa polisi wanarudi walivyokua zamani.

Kama ni jambo la kisiasa ya vurugu za Chadema wenyewe kwa wenyewe, basi ni balaa.

Na kama ni maadui wa kisiasa basi tusubiri mauaji mengi tu hapo baadae.

 
 
Mtoa Maoni: Roja    Sunday, January 12, 2014 20:20:52   
 
Wa2 wa mbowe hao;
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Monday, January 13, 2014 16:17:19   
 
Tatizo la kutumia vibaka, ama watu wanaofanana na hao kujipatia umaarufu ndio hilo; nadhani ni muda muafaka kwa msajili wa vyama vya siasa aweke vyema maadili ya taasisi za siasa na iwapo zikikiuka zifutiwe usajili. Siasa sio ukabaji
 
 
Mtoa Maoni: b5wQs7tyTW    Tuesday, July 01, 2014 12:53:04   
 
I really cold'nut ask for more from this article.
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD