Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wafanyabiasha wakutana na Waziri, wasitisha huduma

NewsImages/7091186.jpg
Friday, January 10, 2014 10:35 AM
WAFANYABIASHARA wameomba kuundwa kwa tume maalum ya kuchunguzwa kwa kina kwa mashine za kielektroniki za EFD na kumtaka Rais asimamie sakata hilo ambalo limeonekana kuwakwaza wafanyabiashara hao.Ombi hilo lilitolewa jana jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara hao katika kikao kilichowakutanisha na Waziri Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda. kilichofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.

Walisema kama wafanyabiasha hawabishi kulipa kodi bali mfumo wa mashine hizo ambao hauwashirikishi ni kikwazo kwao

Walisema wanapinga mashine za EFD kwa sababu mfumo wake unawanyonya zaidi kulingana na kipato cha kati na chini, huku ukiwanufaisha wale wa juu zaidi.

Walitaka kusitishwa kwa matumizi ya mashine hizo kwani ni ukandamizaji kwao.
Waziri Kigoda ameahidi kushughulikia suala hilo ipasavyo

Jana maduka yalikuwa yameafungwa kufuatia mgomo wa mashine hizo ambazo umepelekea huduma kusitishwa kutokana na mgomo huo.

Ni mara ya pili jana wafanyabiasha wa Kariakoo na maeneo mengine ya jiji kugoma kufugnua maduka yao kutokana na kugoma mashine ya kielektroniki zilizotolewa na TRA.

 
Na MWandishi Wetu, DAr    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Friday, January 10, 2014 14:35:09   
 
NAWAUNGA MKONO WAFANYA BIASHARA. SERIKALI PIA INATAKIWA IFANYE UANGALIFU KTK KODI.

MIMI NILISHANGAZWA SANA KUKUTA KODI YA ARDHI IMEPANDA KWA ASILIMIA MIA TANO (500%)KWA MARA MOJA MWAKA JUZI. JAMBO AMBALO HALIJATOKEA PAHALA POPOTE DUNIANI.

HATARI NI KWAMBA WANANCHI WATASHINDWA KULIPA KODI NA HATIMAYE MAMBO MENGINE YATATOKEA.

DHAHABU YETU KODI WANATOZWA ASILIMIA 3 TU, GESI NA PETROLI MPAKA SASA HATUJUI.

KWANINI KUNAKUA KUNA DHULMA YA AINA HH?

 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Monday, January 13, 2014 16:21:45   
 
Tatizo sio mashine za EFD ama wafanya biashara, tatizo ni TRA na wafanyakazi wake. Ni kwa nini hawa wanahujumu ufanyaji kazi wa mashine hizi ili waendelee kuiibia serikali? Kinachotakiwa ni kutoza sehemu ya faida ya bidhaa na siyo bei ya mauzo bidhaa. Wanalijua sana hilo, BORA WAFUKUZWE KAZI wote vijana waajiriwe kama kodi hazitapatikana

 
 
Mtoa Maoni: nIlaGbBjh2UN    Tuesday, July 01, 2014 23:42:32   
 
God, I feel like I shulod be takin notes! Great work
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD