Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Kikundi cha 'MBWA MWITU' kinakosesha amani wakazi wa Yombo

NewsImages/7090222.jpg
Friday, January 10, 2014 10:33 AM
WAKAZI wa maeneo Kiwalani, Yombo na maeneo mengine ya jirani wanaishi kwa mashaka kufuatia kuzuka kwa kikundi cha uhalifu kinachojiiita ‘Mbwa Mwitu’ kutishia maisha ya watu maeneno hayo.


Vijana hao wanadaiwa kupita maeneo kadhaa huku wakiwa na silaha mkononi yakiwamo mapanga, visu na marungu kwa lengo la kulipiza kisasi kwa wananchi kutokana na wenzao wawili kuuawa.

Kikundi hicho kimekuwa kikipita mitaani na kufanya fujo na kuwafanya wakazi wa maeneo hayo kujifungia ndani kwa hofu ya kujeruhiwa na vijana hao.

Wakazi hao wamekwua wakijifungia kutwa na kusitisha shughuli zao huku wenye maduka wakihofia kuyafungua kutokana na kadhia hiyo.


Wakizungumza na mtandao huu baadhi ya wakazi wamekuwa wakiishi bila ya amani tokea wiki iliyopita kutokana na hofu ya vijana hao.

Hata hivyo wanashangwazwa na jeshi la polisi kutosimamia ipasavyo na kuwadhibiti vijana hao hali inayowafanya wakazi kutoishi kwa amani.

 
Na Pilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Friday, January 10, 2014 14:24:41   
 
MWANDISHI HUJASEMA NI KISASI GANI WANACHOLIPIZA VIJANA HAO.

VITA HUANZA KWA DHULMA. FULL STOP.

 
 
Mtoa Maoni: Geofrey    Saturday, January 11, 2014 11:08:53   
 
Kazi ya mapolisi ndio kazi yao yakulinda wanaichi namali zao,serikali haina taalifa.
 
 
Mtoa Maoni: Geofrey    Saturday, January 11, 2014 11:11:18   
 
Kazi ya mapolisi ndio kazi yao yakulinda wanaichi namali zao,serikali haina taalifa.
 
 
Mtoa Maoni: Geofrey    Saturday, January 11, 2014 11:13:05   
 
Kazi ya mapolisi ndio kazi yao yakulinda wanaichi namali zao,serikali haina taalifa.
 
 
Mtoa Maoni: Msemakweli    Saturday, January 11, 2014 13:48:26   
 
kamakweli kazi ya serikali ni kusimamia usalama wa wananchi na mali yao bas sisi kama wananchi wa yombo tunaomba serikali ichui hatua dhidi ya swala hili maana lina kwamisha uzalishaji wetu na hata pia kudumaza maendeleo ya eneo hili

 
 
       Jumla kuna maoni (35), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD