Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Dkt. Mgimwa kuagwa leo Karimjee, Kuzikwa kesho Iringa

NewsImages/7088294.jpg
Ndege iliyobeba mwili wa WAziri Mgimwa ikiwa inawasili uwanja wa Ndege Dar
Sunday, January 05, 2014 12:53 PM
TAYARI mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dkt. Willium Mgimwa umewasili nchini ukitokea nchini Afrika ya Kusini ambako umauti ulimfika huko.
Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika Uwanja za Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, wakati mwili huo ukiwasili

Wananchi wa viongozi wa mbalimbali wa ngazi za juu kutoka vyama vya siasa na Serikalini walikuwepo kuupokea mwili huo kwa majinzi makubwa.

Mwili huo uliwasili majira ya 7.45 mchana na ndege ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini {SAA}.

Baada ya mwili huo kuwasili , msafara wa magari ulianza kuelekea nyumbani kwa marehemu maeneno ya Mikocheni B Mtaa wa Ruvu, jijini Dar es Salaam na ibada fupi ya Misa Takatifu ilifanyika na baadaye mwili huo ulipelekwa Hospitali ya Jeshi ya Lugalo kwa ajili ya kuhifadhiwa.

Leo mwili huo utaagwa jiji Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee ambapo Rais Jakaya Kikwete ataongoza shuhguli hiyo

Baadae mwili huo utasafirishwa kuelekea kijijini Magunga mkoani Iringa na mazishi yatafanyika kesho Jumatatu mkoani humo.

Taarifa rasmi kuhusiana na nini kilichosababisha kifo hicho kitatolewa na serikali

 
Na Pilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: simon kavelaga    Sunday, January 05, 2014 13:39:35   
 
Dkt mgimwa mwenyezi mungu akuweke peme.pema pepon sisi tulikupenda yeye kakupenda zaid amen
 
 
Mtoa Maoni: Remmy    Sunday, January 05, 2014 16:54:55   
 
Mwenyenzi Mungu aiweke roho ya maremu mahali pema peponi,Amina.
 
 
Mtoa Maoni: GOFREY MAKOMANGO    Tuesday, January 07, 2014 01:18:41   
 
MUNGU AMULAZE PEMA PEPONI AMINA
 
 
Mtoa Maoni: syoVqhxOqT7    Tuesday, July 01, 2014 20:25:15   
 
You can always tell an expert! Thanks for conniibutrtg.
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD