Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality

NewsImages/6913810.jpg
Sunday, June 16, 2013 4:44 PM
Umeikosa mechi ya Taifa Stars na Ivory Coast au je ulifurahishwa na kiwango cha soka cha Stars pamoja na kufungwa 4-2 na ungependa kuiangalia tena mechi hii full mwanzo mpaka mwisho basi Nifahamishe.com imekuwekea tayari mechi hii. Angalia hapa chini

 
Source: Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ubuguvu    Sunday, June 16, 2013 17:56:38   
 
Imetoka kiume ndo msemo tuliozoeshwa ili kuonesha uzalendo, huu uzalendo wa kulazimishana mm najitoa silizi na kufungwa kwa aina yoyote ile inagawa nakubali matokeo, hawa Ivory Coast sio wakali kihivyo kwa sababu timu ikiwa unaweza kuifunga bao 2 basi hiyo timu ya kawaida kinachowasumbua stars woga wa majina ya timu na wachezaji
 
 
Mtoa Maoni: miraji hoza    Sunday, June 16, 2013 18:01:04   
 
Kufungwa nu kufungwa hata kiwango kingekuwa kizuri
 
 
Mtoa Maoni: sele sachangwa     Monday, June 17, 2013 00:48:21   
 
pamoja na kufungwa kwani warisha tusoma mchezo cha muhimu tukaze kisoka so kuraumiana from mzundu handeni tanga ok pamoko
 
 
Mtoa Maoni: Mwanza Boy    Monday, June 17, 2013 09:08:48   
 
Tujaribu makocha wazawa! Hawa wa kigeni tumechoka! Kila mara yale yale...Oh tumekufa kiume!! Kufungwa ni kufungwa tu hakuna cha kiume wala nini..bure kabisa!! Hii time pamoja na matosha zote wanazopewa hakuna kitu. Bora kuita chipukizi na kuanza program mpya yenye vijana kama Brazil..Hawa vijeba wameshindwa kutupa raha!!

 
 
Mtoa Maoni: Emmanuel kitila    Tuesday, June 18, 2013 07:33:53   
 
Mnaolalamika ushaona wapi zero to hero tanzania ya juz c sawa na ya miaka mitatu mnne iliyopita kama unaona hawajakuwakilisha vyema kacheze ww ila vjana wameonyesha moyo wakujituma big up taifa stars co kila leo nyie watanzania mnalalamika tuuuuu kama hamjui mpira bhana
 
 
       Jumla kuna maoni (32), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD