Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1

NewsImages/6906098.jpg
Saturday, June 08, 2013 10:47 PM
Taifa Stars imelala kiume kwa Morocco kwa kukubali kipigo cha bao 2-1 toka kwa wenyeji Morocco. Taifa Stars pamoja na kufungwa ilionyesha kiwango cha soka cha hali ya juu ingawa ilicheza kwa muda mrefu ikiwa pungufu baada ya Agrey Morris kupewa kadi nyekundu kwenye dakika ya 37.
Ikicheza pungufu kwa muda mrefu wa dakika zaidi ya 55, Taifa Stars ilionyesha kiwango kizuri sana cha mchezo pamoja na kuwa pungufu.

Taifa Stars ilifanikiwa kupata goli lake la kufutia machozi kwenye dakika ya 61 kupitia kwa Amri Kiemba ambaye aliachia shuti kali lililoenda moja kwa moja nyavuni na kumuacha golikipa wa Morocco akigaragara.

Morocco ilipata bao lake la ushindi kwenye dakika ya 51 baada ya mshambuliaji wa Morocco, El Arabi kubaki peke yake na kipa wa Stars Juma Kaseja, alimpiga chenga Kaseja na kuuzamisha kwenye nyavu za kati za Stars.

Refa aliishaiharibu mechi kwa kutoa kadi nyekundu ambayo haikuwa halali kwa kwa Aggrey Morris kwenye dakika ya 37.

Morocco ilipata goli la kuongoza kwa penalti kwenye dakika ya 37 baada ya beki wa Taifa Stars Agrrey Morris kujikwaa na kumuangukia mshambuliaji wa Morocco ambaye alikuwa tayari offside kwenye eneo la penalti. Morris amepewa kadi nyekundu.

Washambuliaji wawili wa Morocco walikuwa tayari offside lakini refa alipeta na Morris alipojikwaa wakati akajaribu kuokoa refa amempa kadi nyekundu kwa kumwangusha mshambuliaji wa Morocco.

Kikosi cha Taifa Stars kilichoshuka dimbani leo: JumaKaseja (c); Kapombe, Nyoni, Yondan, Morris; Domayo, Sureboy, Kiemba; Ngassa, Samatta & Ulimwengu.

 
Source: Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Noel    Saturday, June 08, 2013 23:54:33   
 
Refa kaishatumaliza
Hawa moroko walikuwa wetu kabisa refa kaishatuua

 
 
Mtoa Maoni: Lukman Ali    Sunday, June 09, 2013 06:00:40   
 
Kwa kweli kazi waliyoifanya vijana wetu wa Taifa Stars ni nzuri sana na wanastahiki pongezi ya hali ya juu na hususan pale walipo jipanga zaidi walipo kuwa pungufu,
Dah!kumbe twaweza tukiwezeshwa
Mungu ibariki Taifa Stars

 
 
Mtoa Maoni: omary.butuka    Sunday, June 09, 2013 07:42:39   
 
refa katumaliza tusikate tama tujipange kwa mechi ijayo
 
 
Mtoa Maoni: omary.butuka    Sunday, June 09, 2013 07:43:53   
 
refa katumaliza tusikate tama tujipange kwa mechi ijayo
 
 
Mtoa Maoni: ubuguvu    Sunday, June 09, 2013 08:25:56   
 
ndo kila mwaka hivyo hivyo tunatoka kiume leo sio kutoka kiume au kike lengo kupata na fasi ya kushiriki kombe la dunia kutoka kiume hakutusaidii kitu ni sawa nawale waliotoka mapema ikiwa toka awali lengo letu lilikuwa kushinda ili twende Brazil.
pili wachaji wetu kila mwaka bado wanakuwa wageni na timu za kiarabu wakiwa kwao, jana taifa ilijianda kulinda goli. hii style ya kupeana moyo tu kila siku tumetoka kiume haina faida ikiwa hauja fikia malengo ya kufika tuendapo

 
 
       Jumla kuna maoni (15), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD