Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.

NewsImages/6887782.jpg
Picha wanandoa
Tuesday, May 28, 2013 5:04 AM
Wanafunzi wa wasagaji wenye asili ya Pakistan ambao wanaminika kuwa ni waumini wa dini ya kiislamu, wamefunga doa ya jinsia moja nchini Uingereza, na kuwafanya wawe wanawake wa kwanza waumini wa kwanza wa dini hiyo kuripotiwa kufunga ndo aina hiyo.
Wanawake wawili wasagaji wanaoaminika kuwa ni waislamu wamefanya sherehe ya ndoa yao ya jisia moja nchini Uingereza, wanandoa hao wasagaji wanaofahamika kwa jina la Rehana Kausar (34) na Sobia Kamar (29) walifanya sherehe ya harusi yao katika eneo la Leeds mapema mwezi huu, na baada ya ndoa hiyo waliyomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa nchini humo.

kwa mujibu wa gazeti la Independent la nchini Uingereza, limesema kuwa wanandoa hao walingia kwa mara ya kwanza nchini humo kwa ajili ya masomo katika chuo kikuu cha Birmingham.
Wanandoa hao wamekuwa wakipokea vitisho vya kuuliwa wao na familia zao zilizopo Pakistan, ambapo vitendo vya usagaji ni kinyume na sheria nchini humo.

Uingereza imetupa haki yetu ya binafsi, na uwamuzi huu ambao tumeuchukua ni uwamuzi binafsi, ambao hakuna mtu kuingilia katika maisha yetu binafsi, alisema mmoja ya wanandoa hao wakati akihojiwa na moja ya gazeti la ndani la uingereza.

Aliendelea mwanandoa huyo kwa kusema tatizo la Pakistan kwamba kila mtu anadhani kwamba anajukumu kwa maisha ya wengine, na anaweza kufanya uamuzi bora kuhusu maadili ya mwengine, lakini hii si njia ya haki.

Dini ya kiislamu inapinga vikali vitendo vya ushoga na usagaji, na waislamu wengi wanachukizwa na vitendo hivyo.

 
nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Abdulaziz    Tuesday, May 28, 2013 08:21:28   
 
Mimi naona kama wamejitoa katika neema ya uislamu, kwani uislamu hauendani na mambo kama hayo, uislamu una raha zake ukiupata na ukaufuata utapata neema katika dunia na peponi katika akhera. uislamu hauwezi kuchezewa kirahisi kama hawa walivyofanya kwa kutaka kuutukanisha na kuudhalilisha uislamu kwa watu wasio kuwa waislamu. Allah swt tunakuomba uzihidi nyoyo zetu katika katika njia iliyo ya sawa.
 
 
Mtoa Maoni: mimi    Tuesday, May 28, 2013 08:35:13   
 
hao sio waislamu, aliye na imani ya kweli hawezi kufanya vitendo hivyo. Lengo lao ni kuedelea kupandikiza chuki juu ya uislamu.
 
 
Mtoa Maoni: Kisaa    Tuesday, May 28, 2013 08:49:14   
 
Hao wanataka kubaki UK tu, hawana issue. Visa zime expire wanatafuta sababu ya kupewa residence.
 
 
Mtoa Maoni: u    Tuesday, May 28, 2013 10:54:49   
 
upuuzi mtupu! kamata tia bakora hao kwani wanaume tumeisha? ebo waleteni hapa Tanga nishuhulike nao wote nalabuku kama sijatuliza kiu yao.
 
 
Mtoa Maoni: mkesha maini    Tuesday, May 28, 2013 18:52:42   
 
Safi sana hawa wanachofanya ni kizuri sana kwasababu kila mtu na haki ya kuamua anavyotaka kuishi na nani anataka kuishi naye waisilamu au wakristo wasiingilie maisha ya watu mnasema kuna Ahera na kuna motoni nani aliyeona hayo???
 
 
       Jumla kuna maoni (114), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD