Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea

NewsImages/6868502.jpg
Suarez akizamisha meno yake kwenye mkono wa Ivanovic
Monday, April 22, 2013 9:34 AM
Mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez ambaye haiishi vituko ameingia kwenye sakata jingine kwa kuzamisha meno yake kwenye mkono wa beki wa Chelsea, Branislav Ivanovic. Wakati mambo yakiwa si shwari kwake, Mike Tyson amejiunga kwenye twiter ya mshambuliaji huyo wa Liverpool.
Mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez ambaye aliwahi kufungiwa mechi saba kwa kumng'ata mchezaji mwenzake shingoni Otman Bakkal, wakati akicheza kwenye ligi ya Uholanzi, ameingia kwenye sakata jingine kwa kumng'ata beki wa Chelsea,Branislav Ivanovic.

Suarez ameomba radhi kutokana na kitendo chake cha kumng'ata mkononi Ivanovic wakati timu hizo mbili zilipocheza jumapili jioni kwenye mchezo wa ligi kuu soka nchini Uingereza.

Suarez,amesema binafsi anasikitishwa na kitendo alichokifanya na amempigia simu Ivanovic na kumuomba radhi yeye mwenyewe kwani anajutia kitendo alichomfanyia.

Kitendo hicho kilitokea katika kipindi cha pili cha mechi baina ya Liverpool na Chelsea.Mechi iliyoishia kwa sare ya 2-2 huku Suarez akifunga bao la dakika za mwisho la kuisawazishia Liverpool.

Ivanovic alimuonyesha mwamuzi Kevin Friend sehemu aliyong'atwa na Suarez lakini mwamuzi alionekana kutotilia maanani kwa kuwa hakukiona kitendo hicho.

Bingwa wa zamani wa ndondi za uzito wa juu duniani, Mike Tyson ambaye alinyofoa kipande cha sikio la Evander Holyfield mwaka 1997, amechochea moto sakata hili kwa kujiunga kuifuatilia twiter ya Suarez.

VIDEO - Suarez Akimng'ata Ivanovic


VIDEO - Suarez Akimng'ata Bakkal 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Mang    Monday, April 22, 2013 09:41:46   
 
Duh! Huyu ndiye yule yule aliyeinyima Africa nafasi ya Kuonja robo fainali ya Kombe la dunia kwa kudaka kama KIPA!!

 
 
Mtoa Maoni: alobadilijina    Monday, April 22, 2013 14:24:13   
 
Nawashauri wanariadha wasiwe wakiingia kwenye uwanja hali wakiwa na njaa.
 
 
Mtoa Maoni: alphoncio    Monday, April 22, 2013 22:17:47   
 
Uyo suarez akapimwe akili
 
 
Mtoa Maoni: Young Malah    Monday, April 22, 2013 23:46:44   
 
Suarez atakuwa amezaliwa na hasira za mbwa kichaa no doubt
 
 
Mtoa Maoni: James Simbadume    Saturday, April 27, 2013 02:41:26   
 
Kwa kuwa hakuna video hata moja miongoni mwa hizi mbili inayoonyesha Luis alivyomng'ata mwenzie, (tumetapeliwa) basi fuateni link hii:
https://www.youtube.com/watch?v=0I1TWPm4n6M
You're welcome.

 
 
       Jumla kuna maoni (18), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD