Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'

NewsImages/6863682.jpg
Erik Rush
Wednesday, April 17, 2013 1:54 PM
Kufuatia mabomu yaliyopigwa mwishoni mwa mbio ndefu katika mji wa Boston nchini Marekani ambaye yamepeleka kufariki kwa watu watatu na majeruhi kadhaa, mchambuzi wa habari katika televisheni ya Fox ya Marekani amedai kuwa Waislamu ni waovu na wauliwe
Erik Rush ambaye ni mchambuzi wa habari ambaye hualikwa kwenye televisheni ya Fox News ya Marekani amesababisha mtafaruku kwa kuandika kwenye twiter yake kuwa Waislamu ni waovu na inabidi wauliwe.

Rush alikuwa akiongelea milipuko miwili ambayo ilitokea mjini Boston karibu na mstari wa kumalizia mbio ndefu ambapo watu watatu walifariki huku watu wengi wakijeruhiwa na wengine wakiwa wamekatika miguu.

Wakati hadi sasa hakuna taarifa zilizotolewa juu ya watu waliofanya shambulizi hilo, Rush alienda moja kwa moja na kudai kuwa aliyefanya shambulizi hilo anatoka nchini Saudi Arabia.

Alipojibiwa twiter yake kama anawalaumu waislamu kwa kuwahusisha na milipuko ya mabomu huko Boston, Rush alijibu kwa kusema "Ndio, Waislamu ni Waovu, Tuwaueni wote".

Rush ambaye mwaka 2009 aliwahi kutoa makala aliyoipa jina la "Yes Islam is an Enemy" amekuwa mchambuzi wa habari kwenye televisheni ya Fox News na alijipatia umaarufu wakati wa uchambuzi wa uchaguzi wa urais wa Marekani mwaka 2008.

Kauli yake hii ya kuhimiza kuuliwa kwa waislamu imepokelewa kwa hasira na watu wengi waislamu na wale ambao si waislamu.

Mmoja wa wakazi wa Boston alijibu twiter hiyo kwa kusema "Kuna mtu Fox News ameandika kwenye twiter "Waueni Waislamu Wote" baada ya milipuko. Nikiwa kama mkazi wa Boston na kama binadamu nimesikitishwa sana".Milipuko miwili ilitokea katika eneo la kukamilisha mbio ndefu za Boston imesababisha majeruhi wasiojulikana idadi yao.

Picha na video kutoka Boston zinaonyesha watu wakiwa wamechanganyikiwa wasijue pa kwenda, huku magari ya huduma za dharura yakielekea katika eneo la tukio na watu waliojeruhiwa vibaya wakipelekwa kwenye hema la matibabu ya haraka.

Chini ni VIDEO ya jinsi mabomu hayo yalivyolipuka


 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: JHN    Wednesday, April 17, 2013 16:30:44   
 
Haya Mwanzaboy tupe na wewe uhanisi wako mwenzango Erik Rush kasema na wewe backup tufurahishe
 
 
Mtoa Maoni: Basayev    Wednesday, April 17, 2013 22:05:41   
 
Kufeni kwa chuki zenu..Hii nuru hakuna naeweza kuzima itaendelea kuwepo mpaka kiama.
Do not forget ''We are Comming''.

 
 
Mtoa Maoni: Sioni    Thursday, April 18, 2013 04:51:09   
 
mtamaliza limau shaba haiwi dhahabu. hata mukiwacukia waislam ni bure tu, hajajulikana aloua tayari weshaaanza chuki zao, mbona hamsemi kama ni south korea hao?
 
 
Mtoa Maoni: Xysa    Thursday, April 18, 2013 05:50:23   
 
Mmmm hapo tu!! Eti chuki laa, kwakuwa ye2 siye mwislam, siku zote mgawaji hajipunji ati siku akosee adai wakristo ndio wanahusika na hlo tukio jarb bac pengne Israel wanaoua Palestina watakusikia
 
 
Mtoa Maoni: king muscat    Thursday, April 18, 2013 10:03:06   
 
kufa wewe kwanza msambaa wahad, waislam hatuna hayo, na leo texas pia sisi
?

 
 
       Jumla kuna maoni (95), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD