Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu

NewsImages/6839582.jpg
Bojana Danilovic akisoma maandishi yakiwa yamegeuzwa
Thursday, March 21, 2013 12:26 AM
Mwanamke mmoja nchini Serbian, anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaomfanya kuona Dunia na vilivyomo ndani yake chini juu, amekuwa ikisumbuliwa na hali hiyo iliyosababishwa na matatizo kwenye ubongo wake
Bojana Danilovic (28) alizaliwa akiwa na hali nadra kumtokea mtu, hali ambayo imemfanya awe anaone kila kitu kilichopo mbele yake kipo chini juu, ugonjwa huo unaofahamika kitaalamu kwa jina la spatial orientation hugeuza mfumo wa ubongo na kumfanya mtu aone kila kitu kipo chini juu.

Wanasema macho yangu yanaona picha katika njia sahihi, lakini ubongo wangu huibadilisha, alisema Danilovic.

Kama utabahatika kuona dawati la Danilovic, unaweza kuzani wenda anafanya utani, Keyboard ya Computer yake, Monitor na Karatasi anazozichapisha vyote huvigeuza china juu.

Pamoja na changamoto zote hizo zinazomkabili, lakini amefanikiwa kumaliza masomo yake ya chuo kikuu katika Kitivo cha Uchumi na kupata alama za juu.

 
nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: uncle D    Thursday, March 21, 2013 14:06:18   
 
huu ugonjwa upo hata baadhiya marubani wanapata ajali kutokana na kutokewa na hali hii ghafla wanapojaribu kutua.Kuna kitu sikioni kwa ndani kinaitwa utricule ndio kinachosababisha kwa wengine inaweza kuwa hali ya muda.Ni sawa na kubadili umeme wa DC waya wa negative uufunge positive na positive ufunge negative kama ni feni inazunguka clokwise itakwenda anti clockwise.Kwa nchi zetu hizi za Africa na pengineko wenye imani za kishirikina wangeamini mtu huyu kalogwa waganga wangepata ulaji san
 
 
Mtoa Maoni: mimi    Thursday, March 21, 2013 15:29:28   
 
Ni kweli magongwa ya namna hio wapo kama alivyoashiria mwenzangu hapo juu.
Tunamtakia huyo mgonjwa afya njema. Kwani kama tujuavyo maradhi haya kwa wengine huwa kwa mda hadi kupoa kwake

 
 
Mtoa Maoni: LEFAVOUR    Monday, March 25, 2013 05:12:26   
 
POLE SANA BWANA AKUSAIDIE DADA
 
 
Mtoa Maoni: emmy    Saturday, March 30, 2013 15:23:04   
 
hongera kwa kuweza kufaulu pamoja na matatizo uliyonayo.
 
 
Mtoa Maoni: hPQfYVWYeRcI    Monday, April 15, 2013 00:51:58   
 
Slam dunkin like Shaquille O'Neal, if he wrote informative artilecs.
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD