Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu

NewsImages/6798130.jpg
Waziri Mkuu wa Serbia akiwa katika mahojiano
Friday, February 08, 2013 8:27 PM
Kijasho chembamba kilimtoka Waziri Mkuu wa Serbia, ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Ivica Dhati, pale alipoalikwa kwenye kipindi cha televisheni na kufanyiwa manjonjo ya kila namna na mtangazaji mrembo aliyekuwa amevaa nusu uchi.
Waziri Mkuu huyo alikumbwa na wakati mgumu, hakujua afanye nini wakati mtangazaji mmoja mrembo wa nchini Serbia alipokuwa akimfanyia mahojiano waziri huyo akiwa amevaa nusu uchi huku akiwa hana nguo ya ndani.

Awali Waziri Mkuu huyo alifika katika Jengo la kituo hicho cha televisheni kwa kushiriki kipindi cha mahojiano, bila ya kujua kwamba atashiriki katika kipindi cha Mission Impossible, ambacho hurushwa katika kituo cha pink.

Kipindi hicho kilianza huku kukiwa na kamera zilizokuwa zimefichwa zikirikodi mahojiano hayo, wakati huo mtangazaji wa kipindi hicho alikuwa amevaa nguo fupi huku akiwa hana nguo ya ndani.

Tukio ambalo limethibitishwa na Mshauri Maalum wa usalama wa taifa wa nchi hiyo Ivica Tonstev, ambaye alielezea tukio hilo kama ni la kijinga limeifedhehesha Serbia na si Waziri Mkuu.

Sehemu ya Video hio yenye utata ya kipindi hicho imejipatia umaarufu mkubwa katika mtandao wa "YouTube", kiasi cha kutazamwa na watu milioni 1.7 chini ya masaa 48, kwa mujibu wa shirika la "Rianovosty".

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: MZEE MKWANDA.    Saturday, February 09, 2013 13:19:40   
 
UCHI HAUNA WAZIRI WALA RAISI,HII SEHEMU NI HATARI UKIENDEKEZA HUO UFA BASI UTAPOTEA HATA UWE NANI.
 
 
Mtoa Maoni: JUDEX    Saturday, February 09, 2013 23:05:25   
 
iyo sehemu ya VIDEO ikowapi nyie Nif. mbona mnaturusha roho, sisi kama wananchi wazalendo wa Tanzania tulikuwa na haja ya kuonesha hako kavidio ili tupate kukonga moyo, halafu apo kwenyewe mmepaficha jamani ndo uhuru wa vyombo vya habari, hem acheni mambo wazi watu walione andazi, mjue tumeacha kazi, tunapekechua hilo vazi. Dah UBUGUVU NA J-G ingekuwa TBC na ITV kuna kamchezo haka mbona tungehojiwa wengi!!!!
 
 
Mtoa Maoni: J_G    Monday, February 11, 2013 03:03:44   
 
KDDDK dah, iyo mwanangu JUDE angelikuwa UBUGUVU angelikwishambaka na usongo aliokuwa nao! KDDDK.. me ningeshindilia miba ya samaki tu, JAMROCK bora ulivyokuwa chongo.. T3H T3H T3H T3H
 
 
Mtoa Maoni: Unce D    Monday, February 11, 2013 11:27:01   
 
huyo waziri angemuweka ndani huyo mmwanamke

 
 
Mtoa Maoni: Wangati    Monday, February 11, 2013 14:19:56   
 
NIFAHAMISHE;;; UNAELIMISHA AU UNAFAHAMISHA KUNA MAMBO MENGINE SIO YA KUANDIKA.
 
 
       Jumla kuna maoni (15), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD