Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray

NewsImages/6778850.jpg
Didier Drogba ameingia mkataba wa miezi 18 kuichezea Galatasaray
Tuesday, January 29, 2013 1:44 AM
Didier Drogba amelitosa dili la bilionea wa Chelsea, Roman Abramovich la kumrudisha tena Chelsea mwezi huu na badala yake ameamua kujiunga na wababe wa Uturuki, Galatasaray.
Baada ya Chelsea kuendelea kuwakera washabiki wao kwa kutofanya vizuri na kutoka sare ya 2-2 na timu ya daraja la pili ya Brentford, bilionea Roman Abramovich alitoa ruhusa wiki iliyopita Chelsea waanze mazungumzo ya kumrudisha mkongwe Didier Drogba ili aipe nguvu safu ya ushambuliaji ya Chelsea ambayo inaonekana kupwaya.

Abramovich alitoa ruhusa Drogba asajiliwe kwa mkopo toka timu ya Shanghai Shenhua ya China kwa muda wa miezi sita ambapo mwisho wa msimu wangeweza kuuongeza mkataba wake kwa mwaka mmoja.

Taarifa za uhakika zilizotolewa zilisema kuwa mazungumzo ya kumrudisha Drogba, Chelsea yalishafikia mbali kiasi cha kuwapa matumaini Chelsea kuwa mfungaji wao mahiri atatua hapo kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.

Lakini mbali ya matumaini hayo leo jioni, Drogba ametangaza kujiunga na mabingwa wa Uturuki, Galatasaray.

Drogba ameingia mkataba wa muda wa miezi 18 ambapo atalipwa euro milioni 6 katika kipindi hicho na pia atakuwa akilipwa euro 15,000 kwa kila mechi atakayokuwa akicheza.

Katika mtandao wake wa Twitter, Drogba alisema "Nafasi ya kuichezea timu hii kubwa ya Galatasaray ni nzuri sana kiasi cha kwamba nisingeweza kuikataa".

"Nasubiri kwa hamu kucheza tena katika kombe la mabingwa wa ulaya dhidi ya timu bora za ulaya", aliongeza Drogba akielezea hamu yake ya kuichezea Galatasaray ambayo imefanikiwa kuingia kwenye hatua ya 16 bora katika kombe la mabingwa wa ulaya ambapo mbele yao wanakabiliwa na timu ya FC Schalke 04 ya Ujerumani.

Wiki iliyopita Galatasaray iliwapiku Liverpool na kumsaini nahodha wa Uholanzi, Wesley Sneijder aliyekuwa akiichezea timu ya Inter Milan ya Italia.

Sneijder alipewa mapokezi ya kifalme alipotua Istanbul. Haijulikani hali itakuwaje Drogba atakapotua Istanbul baada ya kumalizika kwa mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika nchini Afrika Kusini.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Dulla    Tuesday, January 29, 2013 10:14:29   
 
MASKINI TZ MPIRA UPO LAKINI VIONGOZI WA KUSIMAMIA MPIRA HAKUNA ISIPOKUA WIZI, MAJAMBAZI NA WASAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA NDIO WANAOONGOZA MICHEZO TZ. WACHEZAJI BADILISHENI MAWAZO, FIKIRIENI KUJITOA WENYEWE BADALA YA KUTEGEMEA KUTOLEWA NA KINA KIPINGU, HANA MFANO HATA MMOJA WA MCHEZAJI DHULMA TUPU. WAANDISHI WANAOJIITA WA MICHEZO SIJUI WANAANDIKA NINI AU HAWAJUI CHA KUANDIKA. VIJANA WADOGO MSIOTE MAJIPU KWA KUTAJWA KWENYE MAGAZETI. ..... MASKINI TZ.IDADI YA WATU NZURI, KUTOA VIPAJI 0%.......
 
 
Mtoa Maoni: Mang    Tuesday, January 29, 2013 14:02:52   
 
Chelsea walikudhalilisha! Walishakutosa ila wewe kwa busara zako ukawachukulisha UEFA sasa wanajitia kimbembele! Laana imesukuma nje ya UEFA mapema mno! Washindwe na WaRegee!! Pepo Toka! Uu shetani wee!

 
 
Mtoa Maoni: EWkxonVJlRbcc    Monday, February 11, 2013 03:18:56   
 
Awmeose you should think of something like that
 
 
Mtoa Maoni: wUepRNPJVbE    Wednesday, February 13, 2013 13:18:37   
 
vA1wOD , [url=http://xsbsmafdnuty.com/]xsbsmafdnuty[/url], [link=http://lfaoqjwlflzf.com/]lfaoqjwlflzf[/link], http://cxroxbuffwtt.com/
 
 
Mtoa Maoni: SgvVJrYDILZOFb    Thursday, February 14, 2013 07:32:12   
 
Yx2SVX , [url=http://egrlqowwifia.com/]egrlqowwifia[/url], [link=http://rqbqrkdopwvj.com/]rqbqrkdopwvj[/link], http://bkhwyhjntgwf.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (16), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD