Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio

NewsImages/6771138.jpg
Muteba Kidiaba na staili yake ya ushangiliaji
Tuesday, January 22, 2013 2:30 PM
Mashindano ya mataifa ya Afrika yanaendelea nchini Afrika Kusini ambapo kama kawaida mashindano haya yamejaa shangwe na shamrashamra za kila aina, mojawapo ya vivutio vya mashindano haya ni golikipa wa Jamhuri ya Kongo anayeshangilia goli kwa staili ya aina yake.
Golikipa wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kongo, Muteba Kidiaba alikuja na staili yake ya kipekee ya kushangilia timu yake kusawazisha goli dhidi ya timu ya Ghana na kuifanya mechi imalizike kwa mabao 2-2.

Kidiaba alitoa staili yake ya kutumia makalio yake na kujiburuza chini akijirusha rusha kama vile amepanda juu ya farasi.

Angalia VIDEO ya ushangiliaji wa Kidiaba chini.


VIDEO - VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: zhao    Tuesday, January 22, 2013 15:50:52   
 
safi kidiaba,wacheza rhumba bongo staili hio,igeni kama hamtotoka magozi.
 
 
Mtoa Maoni: Abdurahmani khm    Tuesday, January 22, 2013 19:13:48   
 
Maoni yangu kusu huyumwanamke mwenye makalio .makalio makubwa afaniwe upresheni
 
 
Mtoa Maoni: J_G    Wednesday, January 23, 2013 03:51:19   
 
huyu matako yake yana miguu? dah! KDDK
 
 
Mtoa Maoni: Ramazani    Thursday, January 24, 2013 07:47:38   
 
Jajajaja!
 
 
Mtoa Maoni: DIDIER SHINDANO    Friday, January 25, 2013 14:59:43   
 
KIDIABA NI MKALI KABISA....HUKU DRC TUNA PIMA KUMU IGA LAKINI WAPI
 
 
       Jumla kuna maoni (15), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD