Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Gangnam Style Ina Asili ya Afrika

NewsImages/6742218.jpg
Chui akiwa anacheza Gangnam Style
Saturday, January 05, 2013 7:25 PM
Baada ya Msanii wa Korea Kusini PSY kuwa nyota duniani kwa video yake ya wimbo wa Gangnam Style, kumeibuka picha ya mnyama aina ya chui akicheza style ya Gangnam Style, katika Msitu mmoja nchini Afrika Kusini.
Style aliyeitumia Msanii wa Pop kutoka Korea Kusini PSY katika video yake ya wimbo wa Gangnam Style, wenda ikawa style hiyo ina asli ya Afrika.

Hayo yamebainika huko Afrika Kusini, baada ya mpiga picha mmoja maarufu mwenye asili ya kiaarabu anayefahamika kwa jina la Mohammed Nasser, kumpiga picha Chui akiwa anacheza Style hiyo.

Mohammed aliipiga picha hiyo akiwa mbali na mnyama huyo kwa kutumia Lens, akiwa katika msitu mmoja nchini Afrika Kusini, “nina imani kubwa sana hii style asili yake ni afrika, alisema Mohammed.

Picha hiyo imejipatia umaarufu mkubwa katika mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Twitter, picha inamuonyesha mnyama huyo akicheza mtindo wa Gangnam Style hakuna tofauti na anavyocheza PSY na kundi lake.

Star huyo wa Pop amejipatia umaarufu mkubwa dunia kwa Mtindo aliyoutumia katika Video yake ya Gangnam Style.
Na kuwavutia wengi wakiwemo wanasiasa na watu maarufu duniani, miongoni mwa watu walionesha wazi kuvutiwa na style hiyo, ni Mkuu wa umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon na Rais wa Marekani Barack Obama.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Mpungati    Saturday, January 05, 2013 23:20:47   
 
Are you sure?
 
 
Mtoa Maoni: J_G    Sunday, January 06, 2013 03:48:20   
 
me nazani chui kaangalia YT na kuona staili ya PSK na kupendezwa nayo, wanyama poli wa siku hizi wanatumia DIGITO (digitali)KDDDK

JAMROCK T3H T3H T3H T3H

 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Sunday, January 06, 2013 09:17:34   
 
TEH TEH TEH,HAYA BANA,SIKU HIZI UKIFANIKIWA KWA NAMNA FULANI LAZIMA KUTAKUWA NA WAPINGAJI,JARIBU KUANGALIA HII STYLE NA MTU ALIE JUU YA FARASI,ASILI YAKE NI HIYO BANA,HEBU AACHE UONGO NA CHUI WAKE HUYO,HII STYLE NI MTU ANAEENDESHA FARASI,ALA,NAJUA UKIMUULIZA J_G YE ATASEMA NI STAILI YA KUPIGA KASIA BAHARINI,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: Mang    Monday, January 07, 2013 11:13:04   
 
teh teh teh UBUGUVU na kizazi kipya mpo?
 
 
Mtoa Maoni: gIzsskeBpkmYWDM    Monday, February 11, 2013 03:42:51   
 
IMHO you've got the right asnewr!
 
 
       Jumla kuna maoni (9), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD