Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam

NewsImages/6725830.jpg
Alia akiwa amenyanyua juu bendera ya Misri, akiwa na marafiki zaki
Friday, December 21, 2012 12:36 AM
Mwanamke mmoja anayejihusisha na harakati za kutetea haki za wanawake mwenye uraia wa Misri, amepiga picha za uchi na kuzitupia kwenye blog yake kupinga katiba mpya ya Misri, iliyoandikwa na wanasiasa wa kiislam
Mwanaharakati huyo anayeitwa Alia Mahdi
ambaye kwa sasa ameweka makazi yake nchini Sweden, alipiga picha hizo akiwa yeye na marafiki zake wa wili wa kike, wote kwa pamoja wakiwa wamesimama uchi mbele ya jengo la ubalozi wa Misri, uliyopo katika mji wa Stockholm, Sweden.

Alia akiwa uchi wa mnyama ulionekana mwili wake ukiwa umepambwa na maaandishi yasemayo “Sheria ya kiislam si Katiba" mwengine aliandika "hapana Waislam, ndiyo kidunia" akionyesha kupinga vyama vya kiislam na kuviunga mkono vyama visivyo vya kisilamu, wa mwisho aliandika" kuwa pamoja na Mors ni mwisho wa dunia".

Alia akiwa amenyanyua juu bendera ya Misri, huku rafiki zake wakiwa wameshika mabango yalioziba sehemu zao nyeti moja likisema "Hakuna dini" na lengine likisomeka "dini ni utumwa",
Alia alifanya hivyo akiunga mkono
wapinzani wa katiba iliyotangazwa na Rais wa Misri Mohamed Morsi hivi karibu.

Alia hii ni mara ya pili sasa kupiga picha za uchi na kuzitupia kwenye mitandao, mara ya kwanza ilikuwa tarehe 23 Oktoba 2011 alipiga picha za uchi na kuziposti kwenye blog yake akipinga kile ailichokiita ni ubaguzi wa rangi katika jamii kwa kutumia nguvu.

Rais Mohamed Morsi amekuwa akikabiliana na upinzani mkali kutoka kwa vyama na makundi yasiokua ya dini yanayopinga katiba hio mpya, baada ya kujitoa kujitoa katika mchakato wa kuandaa katiba hiyo katika hatua za mwisho, wakipinga vifungu kadhaa kama vile uislam ndiyo dini ya Taifa na vinginevyo vinavyo husu uislam.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Dulla    Friday, December 21, 2012 08:22:12   
 
You better understand that, CHALLENGING ISLAM IS STRENGTHNING ISLAM.
 
 
Mtoa Maoni: God will provid    Friday, December 21, 2012 08:24:04   
 
iliingia kwa ncha ya upanga, popote utawala huu unapopewa kipaumbele haki za msingi za binadamu hukandamizwa, ikiwepo haki ya kuishi.
 
 
Mtoa Maoni: Sheikh Haniwezi    Friday, December 21, 2012 10:19:38   
 
Shame on thee Nif!!!
Ecouter sa chanson, s'il vous plaît!
http://www.youtube.com/watch?v=3PEBJQ9mlmA

 
 
Mtoa Maoni: Mugole     Friday, December 21, 2012 13:57:21   
 
Huyu mama Alia Mahdi hana lolote ni kutafata umarafu ajulikane bcs wakati wa Hosni MBRK wanawake walikuwa free ajabu utasema Cairo sio nchi ya kiarabu kwa mavazi na mambo yangine huyu Morsi ana kisasi na Hosni MBRK kumfunga jela sasa kashindwa njia zote bora atumie Uislam ambayo ndio njia ya karibu ya kufanya analo litaka wengi wanatumia uislam ni njia tu bcs kuna mambo na sheria wanaleta katika dini hamna hata ukimpa Quran akuoneshe imeandikwa wapi hajuwi ni njia tu sio uislam.
 
 
Mtoa Maoni: SAA-IL    Friday, December 21, 2012 15:11:21   
 
Hebu fikiria kama huyu angekua ni dada-ako ndio anatafuta wanaume na umaarufu kwa nguvu kiasi hiki, wewe ungefanyaje? Bahati mbaya, alipatiwa kipigo cha nguvu na jamaa zake. Lakini mimi ningewashauri wamuachie tu mwishoe angechukua hatua kama ile aliochukua yule mwanamke wa Kifaransa ambae alikua hatosheki na ngono akaamua kujiua mwenyewe. Uislam ndio kwanza unaanza kukaa, bado hata kutambaa watu wanaanza kuogopa, je wakiona unaanza kutembea watafanya nini?
 
 
       Jumla kuna maoni (64), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD