Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa

NewsImages/6712334.jpg
mwanamke mnene wa Emarati
Saturday, December 15, 2012 10:26 AM
Mwanamke mmoja nchini Emarati anayedhaniwa kuwa wenda akawa ndiyo mwanamke mnene zaidi kuliko wanawake wate nchini humo, jana alifikishwa hospitalini kwa tabu baada ndugu na jamaa kushindwa kumpandisha kwenye gari la wagonjwa.
Mwanamke huyo mwenye kilo 400, wenda akawa ndiyo mwanamke mnene zaidi Emarati, juzi afikishwa hospitali kwa tabu, baada ya yakupatwa na homa kali iliyopelekea hali yake ya afya kuwa tete, ndugu na jamaa wa mwanamke huyo waliamua kumbeleka hospitali, ndipo walipokutana na kibarua kigumu cha kumtoa ndani mwanamke huyo ili kumumpandisha kwenye gari la wagonjwa.

zoezi la kumpandisha mwanamke huyo kwenye gari hilo la waganjwa lilishindikana mpaka ndugu zake wa karibu walipoomba msaada kwa watu wa huduma ya kwanza na kikosi cha zimamoto, mpaka kufikia idadi ya watu 15, ndiyo walifanikiwa kumtoa ndani ya nyumba na kumpandisha kwenye gari hilo.

Kibarua kiliendelea kuwa kigumu walivyotaka kumshusha baada ya kufikika hospitali kwa ajili ya matibabu, watu wa huduma ya kwanza kwa kushirikiana na kikosi cha zimamoto walifanikiwa kumtoa kwenye gari ya wagojwa akiwa kwenye kitanda na kumuingiza hospitalini.

Kazi ilizidi kuwa ngumu pale walipojaribu kumshusha kwenye kitanda cha gari la wagojwa na kushindwa kufanya hivyo, hali iliyowafanya madakri hospitili hapo kumpatia matibabu yote akiwa katika kitanda cha gari la wagonjwa.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Jamrock    Sunday, December 16, 2012 16:09:33   
 
TEH TEH TEH,HII KAZI KWELI KWELI,LAKINI NDIO HIVYO UNENE NI UGONNJWA HIVYO AJITAHIDI KUUPUNGUZA BILA HIVYO ATAONDOKA AKIWA MDOGO HUYO,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: mkiritimba    Monday, December 17, 2012 12:52:42   
 
Nadhani salama yake atumie Konyagi mwanzo mwisho mafuta yote yatakata, madakitari mpo wapi huyu mama anateseka hivyo????
 
 
Mtoa Maoni: Hania    Monday, December 17, 2012 15:49:41   
 
Saša kwanini wasimtibie nyumbani
 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Tuesday, December 18, 2012 07:03:39   
 
je ana mume? kama ameolewa basi mume ana tabu sana wakati wa ?????
 
 
Mtoa Maoni: THE SENIOR    Tuesday, December 18, 2012 17:35:08   
 
Matibabu ya mtu kama huyo SI lazima yafanyike hosipitari,hata home is BETTER THAN to save her health.
 
 
       Jumla kuna maoni (24), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD