Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu

NewsImages/6710406.jpg
Bi Marion Le Pen
Wednesday, December 12, 2012 6:10 PM
Ufaransa imeliomba Bunge la umoja wa Ulaya kumuondolea kinga ya kutoshitakiwa mbunge mwenye msimamo mkali wa mrengo wa kulia Bi Marion Le Pen, kwa kuwafananisha waislamu waliokuwa wanasali njiani na waporaji wa ardhi kimabavu
Ufaransa imeliomba Bunge la umoja wa ulaya kumuondolea kinga ya kutoshitakiwa mbunge mwenye msimamo mkali wa chama cha mrengo wa kulia Bi Marion Le Pen, kwa kuwafananisha waislamu waliokuwa wanasali njiani sawa na waporaji wa ardhi kimabavu.

Wizara ya sheria nchini Ufaransa imepeleka ombi katika bunge la umoja wa Ulaya la kutaka kuondolewa kinga ya kutoshitakiwa kwa mbunge wa bunge hilo Bi Marion, hayo yamemesemwa na msemaji wa wizara ya Sheria wa Ufarnsa Pierre Ransé.

Mbunge huyo aliyejipatia umaarufu kwa msimamo wake mkali kupitia chama chake cha mrengo wa kulia, the National Front (NF), alitamka maneno hayo disemba Mosi 2010 katika mkoa wa Lyon, Ufaransa, mbele ya wajumbe wa chama cha NF wakati alipokuwa mgomea wa urais wa chama hicho.

Samahani, kwa wale wanaopenda kuelezea historia ya vita vya pili vya dunia wanazungumzia uvamizi wa ardhi kwa kutumia nguvu, huu pia ni uvamizi wa ardhi, wanavamia maeneo na kuanzisha makazi na kuathiri idadi kubwa ya watu, bila ya kutumia mizinga wala askari alisema Marion.

Taasisi moja inayopambana na ubaguzi wa rangi mkoani Lyon, ilimfungulia mashitaka Bi Marion mwezi januari 2011 katika mahaka moja mkoani Lyon, kwa madai ya kuchochea chuki na ubaguzi wa rangi.

 
Na Saleh Shaban    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G     Thursday, December 13, 2012 00:34:58   
 
Hahah amenena maneno ya maana sana, eti kuathiri idadi kubwa ya watu... mama elewa kuwa dini ya kweli haihitaji kuelezwa ila inajielezaa wenyewe...
Na wengi watasema mengi, lakini NURU YA ALLAH itang`aa na kuenea... tukatae, tukubali!!

 
 
Mtoa Maoni: Sheikh Haniwezi    Thursday, December 13, 2012 01:43:10   
 
Pourquoi priez-vous dans les rues/façons, musulmans? Cette religion me fait rire tous les jours. Bien sûr. Même dans notre cité de Dar-es-sSalaam, ils toujours prier dans les rues. BWAHAHAHAHAHAHAAA J_G muslim your religion is nothing man. Ww tu mwamini mwana wa Mungu uislamu uachane nao kwani hautafaidika kitu kaka, trust me. Huyu Alah mlaaniwa mafindiho yake unayasikiliza nini kaka? Kusali njiani kusudi mtazamwe na watu kuwa mnasali hiyo tabia wapenzi waipendezi lakini nawaambieni.
 
 
Mtoa Maoni: Michael McBride    Thursday, December 13, 2012 08:43:06   
 
SHEIKH HANIWEZI
Hahahaha, c'est vrai, monsieur. C'est ce qui me fait haïr la religion l'islam tout temps t. (Je ne déteste pas les gens) Muslims vous voulez savoir ce que la vraie religion ressemble Demandez à Jésus par la prière parce qu'il est un bon chef, il vous le dira. Turudi Ufaransa waislamu hawa tuwaone tena hahahah

 
 
Mtoa Maoni: zhao    Thursday, December 13, 2012 13:23:31   
 
Mibonge ya mijaa inacheka kama mademu eboooss;
kazeni midomo

 
 
Mtoa Maoni: KAMBARANGA    Friday, December 14, 2012 02:39:30   
 
Kumbe tabia ya kusali jiani mpaka sasa wafuasi wa mashehe hawajaacha kabisa? Kwahernini rafiki zangu waislamu Kambaranga nimeokoka Yesu ni wangu sasa. Sorry-2tell-u-zat kama inawauma roho wapendwa nisameheni. Ahsante.
 
 
       Jumla kuna maoni (16), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD