Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu

NewsImages/6709442.jpg
kikosi cha timu ya Zanzibar Heroes
Wednesday, December 12, 2012 12:19 PM
Kikosi cha timu ya Zanzibar Heroes kimefutwa kwa
utovun wa nidhamu, baada ya kushika nafasi ya tatu kikosi hicho katika
michuano ya CECAFA, wamegawana fedha bila ya uongozi wa chama cha mpira Zanzibar kufahamu.
Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kimechukua uwamuzi wa kuivunja rasmi timu ya taifa,
Zanzibar Heroes kufuatia kitendo utovu wa nidhamu kilichofanywa na wachezaji wa timu hiyo,kuamuwa kugawana fedha walizopata baada ya kushika
nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge yaliyomalizika hivi karibuni mjini
Kampala, Uganda.

Timu ya Zanzibar heroes ilizawadiwa kiasi cha dola za Kimarekani
10,000 baada ya kuifunga timu ya taifa ya Bara, Kilimanjaro Stars kwa
penalti 6-5, baada ya kumalizika mchezo kwa sare ya 1-1.

Inadaiwa kuwa wachezaji hao waliamua kugawana fedha hizo kwa madai
kuwa wamekuwa wakidhulumiwa fedha zao kila wanaposhiriki katika
mashindano ya kimataifa, kutokana na kitendo hicho Chama cha Soka
Zanzibar (ZFA), kimewafungia wachezaji 16, kwa muda usiyojulikana
kucheza soka popote duniani.
ZFA.

Katibu Mkuu wa ZFA Taifa, Kassim Haji Salum, akielezea tukio hilo amesema
haijawahi kutokea wachezaji wa timu hiyo kudhulumiwa haki yao,
akikumbushia fedha za zawadi walizopata mwaka 1995 katika mashindano
kama haya yaliyofanyika nchini Uganda na Zanzibar ikafanikiwa kutwaa
ubingwa na mwaka 2009 waliposhika nafasi ya tatu na mara zote walipewa
stahili zao.

 
nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Edi Abrahman    Wednesday, December 12, 2012 14:35:48   
 
uzalendo .je hao walokubali kurejesha wamepewa nini ? Je wenge umia harama za matibabu nani engetoa ? Hii ni aibu tunaonekana kuuwa vipaji sisi wenyewe ilikua busara kuitwa na kusikilizwa madai yao tusiwavunje moyo wachezaji wetu wenyewe wanapo shinda kila mtu anafurahia.
 
 
Mtoa Maoni: mohamedi s    Wednesday, December 12, 2012 15:07:56   
 
KUNA TATIZO ZFA WACHEZAJI WASINGALIGAWANA DOLA 10 WENYEWE WALA SIO USHUJA KUWAFUNGI WACHEZAJI WA CHANGA WENYEVIPAJI KUPOTEZA BURE MWELEKEO WA SOKA LA ZANZIBAR UONGOZI WA MABAVU SI PAHALA PAKE KWENYE MICHEZO BUSARA ZFA ITUMKE KWANZA MMEKURUPUKA MNGALIKAA NAO MKAWASIKILIZA WACHEZAJI KULIKONI.
 
 
Mtoa Maoni: zhao    Wednesday, December 12, 2012 18:18:50   
 
YAFUATAYO MNAPASWA KUFIKIRIA ZFA KWANZAAAA
jee mnahakika duniani au shirikisho la mpira duniani wanakutambueni?
Mbona mlivyooenda omba uanachama FIFA mlikataliwa?
Kama nyinyi chama cha mpira zenj,kwanini hizo pesa msipewe nyie badala yake wapewe wachezaji?ninavyofahamu mimi hutunikiwa uongozi mzima baadae ndio hugawana.
LA KUJIULIZA KWANINI PESA WAPEWE WACHEZAJI MOJA KWA MOJA?
ZFA itakua vibaka msikatae
MIMI CMO

 
 
Mtoa Maoni: Babsha    Wednesday, December 12, 2012 19:39:34   
 
Kitendo walichokifanya wachezaji sio kizuri lakin tujiulize ndo kweli wachezaji hawa waamue tu kugawana fedha hizo bila ya kuwepo kwa sababu maalum? Jibu ni hapana bali ipo sababu ndan ya ZFA iliyopelekea hvy na ZFA inabidi kwanza wakae na kuitafuta sababu kabla ya kuchukua uamuzi km huo
 
 
Mtoa Maoni: nimi     Wednesday, December 12, 2012 20:55:27   
 
Ni haki yao kufanya hivyo kwani viongozi ZFA wanaangalia maslahi yao binafsi.Ni aibu kubwa kwa timu hio kwani maelezo ya wachezaji ni kweli . kwani kila wanapokwenda kuweka kambi nje ya nchi cha kusikitisha viongozi hao hawawajali wachezaji hao kwa huwa hawana hawana hata daktari wa timu au hata madawa ya kuwahudumia wachezaji.Wakizungumza wanaonekana wajeuri au hata wengine huachwa katika timu hio ya taifa. Je kweli ni uungwana wa kutokuwajali hao wachezaji wakati wao ndio wanaojituma.
 
 
       Jumla kuna maoni (18), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD