Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto

NewsImages/6705586.jpg
baadhi ya lipstick zilizobainika kuwa na madhara
Tuesday, December 11, 2012 4:37 AM
Wataalamu wa maswala ya afya ya mama na mototo wamewataka wanawake wenye ujauzito kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya Lipstick, imebainika kipodozi hicho kina material yenye madhara kwa afya ya mtoto.
Wataalamu hao wamesema kuna umuhimu mkubwa wa kupunguza matumizi ya Lipstick, hasa kwa wanawake wajawazito na watoto wa dogo, mmoja ya wataalamu hao akielezea madhara yaliyopo katika kipodozi hicho pendwa kivutio cha wengi amesema, kila lipstick moja ina Material 55% ya madhara kwa afya ya mtoto.

Uchunguzi uliyofanywa na wataalamu hao katika mashirika 22 makubwa duniani yanayojihusisha na utengenezaji wa kipodozi hicho, umebaini kwamba mashirika 12 kati ya 22 yanatumia material yenye madhara kwa watoto, miongoni mwa madhara ya kipodozi hicho, ni kudhofika kwa akili ya motto na kupunguwa uwezo wa kujifunza.

Katika siku za hivi karibuni midomo imekuwa sehemu muhimu sana katika kukamilisha urembo na unadhifu wa wanawake, lipstick imekuwa inawafanya waonekane wana mvuto zaidi na kuongeza kupendeza katika muonekano wao.

 
Na Saleh Shaban    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Jamrock    Saturday, December 15, 2012 08:19:27   
 
TEH TEH TEH,MAMA NA MOTOTO,DU LAZIMA SALEHE UTAKUWA ULIKAA ZAIRE DRC KAMA SI MUHAMIAJI BONGO,HAYA SASA MINA UMESIKIA HIYO?SASA HAKO KAMIMBA KACHANGA CHUNGA SANA,MAANA NDIO HIVYO TENA,KILA TUKKUTANA NAONA UMEJISILIBA MI LIPSTICK UTADHANI RANGI ZA NGUO ZA SANTA KUDADEKI,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: Bahati wa ukwel    Sunday, December 16, 2012 14:34:22   
 
Nakupongeza kwa kutusaidia sisi wanawake.maana duu! !!!
 
 
Mtoa Maoni: pTOaRNTx    Monday, December 24, 2012 01:06:39   
 
What a pleasure to find soemnoe who thinks through the issues
 
 
Mtoa Maoni: VPuPYUQRUOlw    Tuesday, December 25, 2012 14:11:56   
 
B2TMvI , [url=http://pwpvfndmlxyz.com/]pwpvfndmlxyz[/url], [link=http://obuljdelupxi.com/]obuljdelupxi[/link], http://weafanaexjdw.com/
 
 
Mtoa Maoni: henry sanga     Friday, February 08, 2013 13:53:55   
 
poleni sana wanawake mnotumia lipstick ndomda wa kuacha kabisa kipodozi hicho


 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD