Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara

NewsImages/6701730.jpg
Gretchen Molanen wakati wa uhai wake
Sunday, December 09, 2012 10:01 AM
Mwanamke mmoja nchini ufaransa aliyefahamika kwa jina la Gretchen Molanen (23) amechukua uwamuzi wa kujiua kwa sababu ya kusumbulia na ugonjwa wa ajabu unaomfanya atamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuishiwa hamu ya tendo.
Mwanamke mmoja nchini ufaransa aliyefahamika kwa jina la Gretchen Molanen (23) ameamua kujiua kwa kusumbulia na ugonjwa wa ajabu unaomfanya atamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuishiwa na hamu ya tendo.

ungonjwa huo unaofahamika kwa jina Sexxual arousal disorder (female sexual arousal disorde)
unazichochea sehemu za siri kutamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuisha hamu.

Imelezwa kwamba ugonjwa huo hatari unawapata wanawake tu, kulingana na mtandao mmoja wa kifaransa , unamfanya mwanamke kutamani kufanya ngono wakati wote, bila ya kujali nani anafanya naye tendo hilo, na hakuna kitu kinachoweza kupunguza mataanio hayo mpaka pale hisia hizo zitakapopungua wenyewe, hali hiyo hudumu kwa muda wa masaa kadhaa mpaka siku mzima.

Wanasayansi wamesema kwamba ugonjwa huo ni matoke ya udhaifu na ulegevu wa mishipa ya sehemu za sira za mwanamke, na wala hauna mahusiano na matamanio ya kufanya ngono kwa kuvutiwa kimapenzi, Gretchen aliacha kazi ili apate muda wakutosha kujitibia lakini baada ya kuona hakuna ufumbuzi wa tatizo lake aliamua kujiua.

 
nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: zhao    Sunday, December 09, 2012 14:07:19   
 
Kafanya haraka sana kuchukua uamuzi wa kujiua,ilikua bila ya kusita apande ndege hadi afrika nchi yoyote ile,mijamaa ingemsubiri kwa foleni,mwisho ugonjwa ungepotea au yeye binafsi angekimbia.
Dunia,baadhi ya waafrika mnawasahau kwashida kama hizi kwahio zikitokezea hali kama hizi huko majuu basi tutupieni sisi tu.
Hakuna ugonjwa uso dawa msitudanganye bana aahh!!!

 
 
Mtoa Maoni: J_G     Monday, December 10, 2012 13:21:32   
 
Ilivyokuwa imetajwa ugonjwa, hakuna taabira nzuri zaidi ya kuomba "M\Mungu atuepushe na magonjwa tuyajuayo na tusiyoyajua, na awaponye wagonjwa wote, pia kuwapa rehema zake wale wote waliotangulia na sisi twendao.." Emin RIP!
 
 
Mtoa Maoni: Omar    Monday, December 10, 2012 19:19:14   
 
Andikeni umri sahihi ya huyu mwanamke umri wake ni miaka 39 na sio mfaransa ni mmarekani na amefariki tarehe 1.12.2012.
 
 
Mtoa Maoni: Osbert Valerian    Tuesday, December 11, 2012 21:19:31   
 
Pole familia yake maana inaonekana ni tatzo lililomsumbua kwa mda mrefu hadi kuamua maamuzi magumu ya kujiua.. RIP
 
 
Mtoa Maoni: Osbert Valerian    Tuesday, December 11, 2012 21:19:32   
 
Pole familia yake maana inaonekana ni tatzo lililomsumbua kwa mda mrefu hadi kuamua maamuzi magumu ya kujiua.. RIP
 
 
       Jumla kuna maoni (21), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD