Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy

NewsImages/6700766.jpg
moja ya vipeperushi vya kupinga ngono
Friday, December 07, 2012 10:51 AM
Wanawake nchini Italy wamegoma kufanya ngono wakidai kuboreshwa kwa huduma za afya katika wodi ya wazazi katika hospitali ya Sulmona, wamechukuwa uwamuzi huo baada hali kuwa tete katika wodi ya wazazi hospitali hiyo.
Serikali ya mtaa wa Sulmona Mjini L'Aquila mkoani Abruzzo, mashariki mwa Italy, imetoa wito kwa wanawake wa eneo hilo kushiriki mgomo wa ngono mpaka uongozi wa jimbo hilo utakapoboresha huduma za afya kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya Sulmona.

Mgomo huo umeazishwa na uongozi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Sulmona,wakishirikiana na wanawake wa eneo hilo katika ngazi mbalimbali, wakiwemo watu wa kawaida na wanasiasa katika ngazi ya mtaa.

kundi hilo la wanawake lilikaa pamoja kisha walikubaliana kufikisha mpango huo kwa ungozi wa Serekali ya mtaa ili kuhakikisha viongozi wanatekeleza wajibu wao katika kuiletea maendeleo hospitali hiyo.

ungozi huo umewataka wanawake wa kigeni kutoka nchi mbalimbli wanaoishi eneo hilo kushiriki katika mgomo huo ili kufanikisha zoezi hilo linalolenga kuboreshwa kwa huduma ya afya katika wodi ya wazazi kwa aliji ya usalama wa vizazi vyao vijavyo.

Mji wa wa L'Aquila ulikumbwa na tetemeko kubwa mwaka 2009, na kusababisha vifo vya watu zaidi ya mia tatu, na kuharibu majengo na miundombinu.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Zebede    Sunday, December 09, 2012 03:26:01   
 
INAPPROPRIATE INFORMATION.
 
 
Mtoa Maoni: Mtoto wa bro-clean    Sunday, December 09, 2012 21:36:43   
 
Dah!! Me nawapongeza ndugu zangu na wamiliki wa blog hii,ijapokuwa this is my first time kuingia kwenye blog yenu ila kazen buti na muomben Mungu wa mbinguni awasaidie ili mweze kufikia malengo.
 
 
Mtoa Maoni: ctsXVJyyk    Sunday, December 23, 2012 07:34:54   
 
What a joy to find such clear thiknnig. Thanks for posting!
 
 
Mtoa Maoni: ayVtkKrW    Wednesday, December 26, 2012 22:42:37   
 
Ohla8C , [url=http://kfvaykwquqyn.com/]kfvaykwquqyn[/url], [link=http://aclhtdyyjphz.com/]aclhtdyyjphz[/link], http://haxqmzuzafdu.com/
 
 
Mtoa Maoni: FRANK STEVEN.    Thursday, October 31, 2013 09:32:35   
 
nawapongeza sana hao wanawake kwa mgomo.na hapa bongo naomba pia itokee,2one.
 
 
       Jumla kuna maoni (14), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD