Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE

NewsImages/6698838.jpg
Ssentongo aliyefungia timu yake mabao mawili
Thursday, December 06, 2012 11:58 PM
Timu ya Tanzania bara (Kilimanjaro stars) imekubali kichapo cha aibu cha mabao 3-0 dhidi ya wenyeji wake Uganda katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge.
Timu ya taifa Tanzania bara (Kilimanjaro Stars)imefuta matumaini ya yake ya kurejea nchini na kome la challenge, baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Uganda, ambao ndiyo wenyeji wa mashindano hayo mwaka huu, Uganda waliandika bao la kwanza kupitia kiungo wao machachali Emmanuel Okwi katika dakika ya 11, bao hilo liliendelea mpaka timu hizo zinakwenda mapunziko.

baada ya mapunziko timu ya Uganda ilirejea uwanjani na kasi ya ajabu na kuweza kuandika bao la pili kupitia mshambuliaje wao Robert Ssentongo katika dakika ya 51, hali ilizidi kuwa mbaya kwa upande wa Stars na ilipofika dakika ya 71 Ssentongo alishindilia msumari wa mwisho kwa Stars na kuwezesha timu yake itoke kifua mbele kwa ushindi wa mabao 3-0.

Mechi hiyo ilicheza katika Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala, na kwa matokeo hayo,

timu ya taifa Tanzania bara itacheza na timu ya Zanzibar katika mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu, wakati fainali itachezwa na timu ya taifa ya Kenya na Uganda.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G    Friday, December 07, 2012 01:49:03   
 
Uganda kama kawaa!!! Hongera!! na mshindi wa tatu lazima atokee TZ, ima bara au visiwani.. muhimu ni TZ! atakaebisha anirudi! KDDDK!

UBUGUVU chukua E-mail ya lile toto la kialabu linalotaka kuolewa!!! "uzuriwamatapishiutapishwe@yahoo.COM" KDDDK

 
 
Mtoa Maoni: coieadrZmq    Monday, December 24, 2012 08:18:13   
 
Alakazaam-information found, problem soelvd, thanks!
 
 
Mtoa Maoni: Ngumu Kumeza    Friday, March 29, 2013 19:45:15   
 
Kazeni but vijana ndiyo soka le2
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD