Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani

NewsImages/6697874.jpg
Picha Ahmed akiwa na wanafunzi wenziwe wakati wa uhai wake
Thursday, December 06, 2012 12:10 PM
Katika hali isiyo ya kawaida mwalimu mmoja nchini Misri
anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauwaji ya mwanafunzi wa shule ya msingi, baada ya kumfungia darasani na kumzuia kwenda kujisaidia haja ndogo mpaka kupelekea kifo.
Mwanafunzi mmoja aliyefahamika kwa jina la Ahmed Sultan Abdullah mwenye umri wa miaka 10, amefariki dunia akiwa darasani baada ya kuzuiwa na mwalimu wake kwenda kujisaidia chooni.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea baada ya Ahmed kumuomba mwalimu wake wa darasa amruhusu aende kujisaidiya baada ya kujisikia kubanwa na haja ndogo, lakini mwalimu alikataa ombi hilo na badala yake alimtaka aendele na masomo mpaka hapo kipindi chake kitakapomalizika.

Mwanafunzi alitii amri hiyo na kuendelea na masomo, lakini kila muda ulipokuwa ukienda ndiyo hali ilikuwa ikizidi kuwa mbaya, Ahned aliomba tena ruhusa kwa mwalimu wake, lakini mwalimu alikataa kumruhusu na kuanza kumpiga mpaka kupelekea kifo chake.

Taarifa hiyo imethibitishwa na Meja jenerali mratibu wa maswala ya usalama katika Mkoa wa Assiut, bwana Abu al-Qasim Abu Deif, Abu Deif aliviambiya vyombo vya habari kwamba, mtuhumiwa huyo wa mauaji ameshakamatwa na ameshafiikishwa katika vyombo vya sheria na amefunguliwa mashitaka jalada namba 3924 la mwaka 2012.

Nifahamishe.com ilifika katika eneo la tukio na kubahatia kufanya mazumgomzo na mmoja ya wanafunzi wa shule hiyo ya msingi iliyopo katika mkoa wa Assiut kijiji cha Alvima nchi Misri, mwanafunzi huyo akiongea kwa masikitiko na majonzi makubwa alisema, kwa kweli inasikitisha na inaniuma saana mimi ndiyo mara ya kwanza nashuhudia mtu anakufa alisema mwanafunzi huyo huku akitokwa na machozi.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: MINA wa J_G    Thursday, December 06, 2012 17:10:07   
 
unyama wa kutisha UBUGUVU MBbona nyie wakatili sana hivi unamzfuiaje mtoto kwenda kujiasaidia angebanwa yeye asingeenda?

walaaniwe wanyanyasaji

 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Thursday, December 06, 2012 17:29:22   
 
kifo cha bahati mbaya tu haina haja ya kumlaumu sababu sijawai sikia mtu anakufa kwa kutokwenda chooni, MINA wa J-G ugekuwa ww ungemaliza tu hapo hapo, i mean ungesubiri mpaka mwisho wa class, mtu akifa na sababbu isioua mara kwa mara kifo chake kinakuwa cha bahati mbaya

 
 
Mtoa Maoni: J_G     Friday, December 07, 2012 01:44:41   
 
Hbr haina ukweli, kafa kwa sababu nyengine, haiigii akilini kifo cha namna hii, kwani haja ikizidi hutoka wenyewe sasa ilikuwaje? sipendi kushangaa wala kushangazwa!!, KDDDK!!
JUDEX utajijuuu!

 
 
Mtoa Maoni: jackson    Friday, December 07, 2012 07:44:56   
 
Unajua watoto wakiarabu niwatukutu sana kutokana nahilo labda teacher akajua anamjok.kifo nicr ya m/mungu.
 
 
Mtoa Maoni: KAMBARANGA    Friday, December 07, 2012 07:58:00   
 
MWALIMU MBAYA SANA HUYO.
 
 
       Jumla kuna maoni (25), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD