Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Cobra ailazimisha ndege kutua Misri

NewsImages/6694982.jpg
Moja ya ndege zinazo milikiwa na shirika na ndege la Misri.
Tuesday, December 04, 2012 1:54 PM
NYOKA aina ya Cobra amesababisha kizaza kwenye ndege na kuilazimisha kukatisha safari yake na kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Hurghada nchini Misri, auliwa baada ya kumjeruhi abiria .
Nyoka huyo alizua mtafaruku huo baada ya kutoka katika mfuko alipokuwa amehifadhiwa na kumjeruhi abiria mmoja raia wa Jordan aliekuwa amekaa karibu na mfuko uliokuwa amehifadhiwa nyoka huyo.

Abiria walianza kumshambulia wakijaribu kumuua kwa kumpiga na viatu na hatimae kufanikiwa kumuua, abiria aliejeruhiwa alipatiwa huduma ya kwanza, na kuhamishiwa hospitalini kwa matibabu zaidi na kuwekwa chini ya uangalizi kwa masaa 24, hali iliopekea kukatisha safari yake.

Uchunguzi wa awali uliofanywa umebaini kwamba, mmoja wa abiria alimficha nyoka huyo kwenye mkoba na alifanikiwa kupita katika vizuizi na kuingia na nyoka huyo kwenye ndege.

 
nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: msauzi    Tuesday, December 04, 2012 14:50:12   
 
Duh hiyo kali
Jamaa aliyebeba nyoka afikishwe mahakamani kwa kuhatarisha maisha ya watu

 
 
Mtoa Maoni: JUDEX    Tuesday, December 04, 2012 14:58:19   
 
hapo patamu sana jamani, hicho kinyoka watu walikuwa wanakwenda kufanya mambo ya mirogo hapo hapo washamuharibia madili yake.watu wengine nuksi
 
 
Mtoa Maoni: Andrew Mandari    Tuesday, December 04, 2012 17:13:58   
 
Sio ustaarabu kusafir na vitu kama hivyo,ni hatari kwa kila aliyendan ya chombo, iwe gar,ndege au meli. Hatua kali ichukuliwe kwa muhusika iwe funzo kwa wenye tabia kama hii.
 
 
Mtoa Maoni: Neem    Tuesday, December 04, 2012 20:19:38   
 
Huyo nyoka amepitaje? tuseme hapo Cairo hakuna upekuzi mtu anaji-
endea anavyo taka,mabegi yanawekwa kwenye screen yanachu-
nguzwa kila kitu kinaonekana wazi,
tuseme huyo baba alionga ndio maana alikwenda bila kuchekiwa,
atahile yakuchekiwa kwenye kabin
lazima vifunguliwa au amuonge
police hasimpekuwe.Achukuliwe
hatua kali kabisa na wale wiokuwa
kazini siku hiyo yakucheki.Airport
ya Cairo ni wazembe sana,watuwengi
wanaibiwa mizigo yao sana.Kama hivyo vinasafirishwa kwenye cargo.

 
 
Mtoa Maoni: KAMBARANGA    Tuesday, December 04, 2012 22:28:18   
 
Hukumu yake aliyesafirisha nyoka mchawi huyo itakuwa je? Ama ataachwa huru? Roho za binadamu kama hizi hakika kwangu Mungu aepushe mabali mani.
 
 
       Jumla kuna maoni (17), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD