Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani

NewsImages/6669918.jpg
Obama akiwahutubia wafuasi wake
Wednesday, November 07, 2012 12:06 PM
Rais Barack Obama amembwaga mpinzani wake Mitt Romney na kuchaguliwa tena kuwa rais wa Marekani kwa miaka minne ijayo.
Rais wa kwanza mweusi nchini Marekani, Barack Obama amefanikiwa kwa mara nyingine kushinda uchaguzi na ataendelea kuliongoza taifa la Marekani kwa miaka minne ijayo.

Obama amefanikiwa kupata jumla ya kura za majimbo ya uchaguzi 303 wakati Romney akiambulia 206.

Katika hotuba yake ya ushindi jijini Chicago, Obama alisema kuwa atamuomba mpinzani wake Romney wafanye kazi pamoja kulijenga taifa la Marekani.

Naye Romney akiongea na wafuasi wake mjini Boston, alitoa pongeza zake za dhati kwa Obama na timu yake.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ubuguvu    Wednesday, November 07, 2012 13:09:42   
 
hongera obama hakuna kipya tunachotarajia zaidi ya kuona anahakikisha nchi zote zinazosaidiwa na marekani ni halalisha ushoga na usagaji na atahakikisha wanapa haki zao yani tunakua na wabunge na mawaziri mashoga, malawi wamekubali kuwa mashoga wasaidiwe na nchi za magharibi kupata ziwa nyasa, sasa tanzania kushindwa na mashoga ndo bac
 
 
Mtoa Maoni: Caskill Oscar    Wednesday, November 07, 2012 22:23:15   
 
Rais Barack Obama ni 2nd president ambaye amechaguliwa kuongoza nchi hii mara mbili wa kwanza ni Gorver Cleverland the 22nd & 24th pres. Nahisi Obama yuko happy so much.
 
 
Mtoa Maoni: Caskill Oscar    Wednesday, November 07, 2012 22:24:51   
 
OBAMA
OBAMA
OBAMA
OBAMA
OBAMA
OBAMA
4MORE-YEARS-YEAH!!!


 
 
Mtoa Maoni: KAMBARANGA    Thursday, November 08, 2012 02:38:21   
 
Mungu akubariki sana raisi Obama uwe na siku njema Marekani huko.
 
 
Mtoa Maoni: J_G aka    Thursday, November 08, 2012 02:51:31   
 
Hakuna jipya, tulitarajia wkt anachaguliwa kwa mara -mala UBUGUVU ya mwanzo kuwa atakuwa kiongozi wa maana kumbe ni ktk wale wale na vilevile. Uchumi duni! Ahadi hakutimiza!

 
 
       Jumla kuna maoni (13), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD