Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Aenda Kwa Daktari wa Meno, Apoteza Jicho Lake

NewsImages/6649674.jpg
Tuesday, October 23, 2012 4:09 PM
Mtoto wa miaka 7 wa nchini Cyprus aliyekuwa akisumbuliwa na maumivu ya meno amepoteza jicho lake baada ya daktari wa meno kumdondoshea dawa ya ganzi kwenye jicho lake.
Kwa mujibu wa magazeti ya Cyprus, mtoto huyo alipelekwa na wazazi wake hospitali alipokuwa akisumbuliwa na maumivu ya jino.

Wakati akiwa hospitali, daktari wa meno alitoa dawa ya ganzi na kumuonyesha mtoto huyo na wazazi wake dawa ya ganzi atakayotumia.

Wakati akifanya hivyo kwa bahati mbaya matone ya dawa hiyo yalidondokea kwenye jicho la mtoto huyo na kupelekea mtoto huyo apoteze nuru ya macho yake.

Mtoto huyo aliwahishwa kwenye kitengo maalumu cha macho kwenye hospitali hiyo hiyo ya serikali lakini juhudi zao za kuliokoa jicho la mtoto huyo zilipokuwa zinafeli mtoto huyo aliwahishwa kwenye hospitali binafsi ambako huko pia madakatari walishindwa kuliokoa jicho la mtoto huyo wakisema kuwa amecheleweshwa sana kupewa tiba hivyo hakuna kinachoweza kufanyika kulikoa jicho lake.

Kwa mujibu wa magazeti ya Cyprus, wazazi wa mtoto huyo wamemfungulia mashtaka daktari wa meno na daktari wa macho kwenye hospitali hiyo.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ubuguvu    Tuesday, October 23, 2012 18:41:34   
 
pole mgoja na wazazi pia,inamaana hii tabia ya madaktari wa serikali kuwa hawawi makini na kuchukua tahadhali na wagonjwa mpaka huko majuu si bongo tu hii ni bahati mbaya lkn kukngekua na umakini ingeweza kuzuilika, daktari hakupaswa kuwaonesha dawa wazazi kwa sababu wao hawajui kitu ww umeletea mgonjwa fanya kazi yako
 
 
Mtoa Maoni: BzVNJfuVQ    Monday, November 19, 2012 13:05:10   
 
No complaints on this end, silmpy a good piece.
 
 
Mtoa Maoni: fTDVuVbWqICosy    Wednesday, November 21, 2012 06:40:17   
 
czC8li , [url=http://nlyqzztbfssu.com/]nlyqzztbfssu[/url], [link=http://grlxymissyor.com/]grlxymissyor[/link], http://uahkbzwvkclm.com/
 
 
Mtoa Maoni: XhaGgfVkWebofzP    Thursday, November 22, 2012 05:53:17   
 
RDwuBn , [url=http://gvrvoqlwvjtc.com/]gvrvoqlwvjtc[/url], [link=http://kghuhpgcyzwq.com/]kghuhpgcyzwq[/link], http://nvhekyhrwmhb.com/
 
 
Mtoa Maoni: Omari Abrahman     Sunday, December 09, 2012 13:57:17   
 
Asalam alekum inasikitisha sana kwa kweli uzembe tunalaumiwa nchizetu za Africa sasa ulaya je .
 
 
       Jumla kuna maoni (16), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD