Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote

NewsImages/6633286.jpg
Shabiki wa Yanga akitoa dukuduku lake
Thursday, October 11, 2012 7:51 AM
Ushabiki wa soka Tanzania umezidi kukua katika miaka ya karibuni lakini katika washabiki wote wa soka la Bongo hakuna shabiki mwenye ushabiki uliopitiliza kama jamaa huyu mshabiki wa Yanga ambaye hakuridhika na matokeo na alimwaga chozi baada ya Yanga kutoka sare ya 1-1 na Simba.
Shabiki huyo wa Yanga aliangua machozi akishusha lawama nzito kwa refa wa mechi ya Simba na Yanga pamoja na washika vibendera wake akisema kuwa wameinyima Yanga ushindi.

Angalia VIDEO ya shabiki huyo wa Yanga akishusha lawama zake kwa uchungu mkubwa sana uliomfanya ashindwe kuzuia machozi kutiririka kwenye macho yake.


VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote Kile

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: KAMBARANGA    Thursday, October 11, 2012 08:23:44   
 
Hahahaha wanaozungmza kingeleza wanasema sijui "best-video-ever" Ebo! Ni kweli kila mtu duniani hupenda kilichosafi kwake. Haha
 
 
Mtoa Maoni: KAMBARANGA 2    Thursday, October 11, 2012 08:27:06   
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa asanteni sana NIFAHAMISHE KWA VIDEO HII. :)
 
 
Mtoa Maoni: ubuguvu    Thursday, October 11, 2012 10:56:05   
 
hii habari ipo kiyanga yanga lkn poa tu huwezi kumpa ushabiki bora wa bongo shabiki wa timu moja bila ya kuweka wazi vigezo vilivyotumika kumpata huyo shabiki, mm nakubali kama mutasema huyu ndo shabiki bora wa yanga sio tz nzima, sasa hakulizika na 1-1 alitaka wafungwe tena 5-0. namuonea huruma sana huyu jamaa kaingia choo cha kike, ushabiki Yanga
 
 
Mtoa Maoni: alobadilijina    Thursday, October 11, 2012 16:45:49   
 
kweli huyu ni shabiki mpevu! ila sasa simba wanaweza kusema kuwa matokeo tumetoka sare lakini yanga tumewaliza! hahahahaaaa.
 
 
Mtoa Maoni: Juma Tagalal    Thursday, October 11, 2012 22:58:24   
 
dah jamaa kweli mpenzi halic duh
 
 
       Jumla kuna maoni (26), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD