Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1

NewsImages/6620754.jpg
Nani mbabe leo?
Wednesday, October 03, 2012 7:08 PM
Mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga umeisha kwa kutopatikana mbabe kati ya timu hizo mbili za jijini Dar es Salaam. Mechi imeisha Simba 1 Yanga 1.
Simba walianza kwa kujipatia goli la kuongoza dakika ya nne tu kupitia kwa Amri Kiemba aliyeunganisha krosi ya Saidi Chollo.

Yanga walisawazisha kwa njia ya penalti dakika ya 65 kupitia kwa Saidi Bahanuzi.

Dakika ya 79, Simon Msuva wa Yanga alipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Nyoso wa Simba.

Kikosi cha Simba kilichoanza leo:
Kaseja, Nassoro Masoud, Paul Ngalema, Shomari Kapombe, Juma Nyosso, Jonas Mkude, Mrisho Ngassa, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Edward Christopher na Amri Kiemba. MFUMO 4-3-3


Kikosi cha Yanga kilichoanza leo:
Yaw Berko, Mbuyu Twite, Stephano Mwasika, Nadir Haroub, KelvinYondani, Athumani idd , Nizar Khalfan, Hamis Kiiza, Haruna Niyonzima, Simon Msuva, Said Bahanuzi

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ubuguvu    Wednesday, October 03, 2012 22:19:11   
 
hawa mareefa wa bongo lini watabadilika wanaharibu soka na hii tabia yao ya kuipendelea yanga, wanawapa penati ya bure baada ya kuona yamga wanakimbizwa na SIMBA, yanga bado saana kwa simba mutuache miaka 1000
 
 
Mtoa Maoni: babu jinga    Thursday, October 04, 2012 02:28:12   
 
acha ujinga wewe ubuguvu, una macho halafu unajifanya huoni, eti yanga kapendelewa.....? angependelewa mngefungwa zaidi ya nne pale.
 
 
Mtoa Maoni: Mudi    Thursday, October 04, 2012 05:44:04   
 
Simba jana kidogo 2 angerudi porini
 
 
Mtoa Maoni: GRA HOPE    Thursday, October 04, 2012 08:17:43   
 
Kama sio mshika kibendera namba 2 kunyoshanyosha kibendera kuwaokoa Simba lazima wangelia,Simon Msuva kamchezea rafu Nyoso kapewa kadi nyekundu,lakini Boban kumrukia kwa makusudi Yondani anapewa kadi ya njano.Marefa wa Bongo mtachezesha halali mwaka gani?
 
 
Mtoa Maoni: Mang    Thursday, October 04, 2012 08:44:57   
 
Refa ni mwanadamu na makosa yake kwa kweli si mengi hivyo, mechi nimeitazama kwa njia ya super sport, na vipande vikirudiwa utaona refa hana lawama japo amekosea kama kumpa card mchezaji wa simba kwa dai la kujiangusha alikosea kwani kweli alivutwa jezi na alistahiki penati ila upande aliokuwa refa hangeweza kuona, pia Rafu ya Boban ibastahili red! na yule mshika kibendera kuna kama offside 3 hivi amewadhulumu yanga ukitazama marudio unaona si za kweli alinyanyua kibendera haraka!
 
 
       Jumla kuna maoni (19), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD