Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Msikiti Wageuzwa Jukwaa la Muziki

NewsImages/6609186.jpg
Mwanajeshi wa jeshi la Syria akiimba na kudansi msikitini
Tuesday, September 25, 2012 3:05 PM
Wakati zaidi ya watu 10 wakiwa wamefariki dunia kutokana na vurugu za kupinga filamu inayopinga uislamu iliyotengenezwa nchini Marekani, wanajeshi wa Syria wametoa video inayowaonyesha wakiimba na kudansi msikitini.
Wanajeshi wa rais wa Syria, Bashar Hafez al-Assad ambao wanapambana na majeshi ya waasi wanaotaka kuiangusha serikali ya Assad, wamejikita kwenye mzozo mwingine baada ya kutoa video wakiimba na kudansi msikitini.

Mwanzoni mwa mwaka huu wanajeshi wa Assad walitoa video wakiigiza kusali ndani ya msikiti huku wakivuta sigara na kufanyiana mzaha.

Katika video hii mpya, mwanajeshi mmoja wa jeshi hilo akiwa na magwanda yake ya jeshi anaonekana akiimba na kudansi kwenye mimbari ya kutoa hutba za sala ya ijumaa huku wenzake wakichukua video wakicheka.

Video hiyo imesababisha gumzo kubwa duniani wakati huu ambao watu zaidi ya 10 wamefariki dunia katika maandamano yanayoendelea duniani kupinga kutolewa kwa filamu ya "The innocence of muslims" inayomkashifu mtume na uislamu.

Angalia VIDEO hiyo chini.


VIDEO - Msikiti Wageuzwa Jukwaa la Muziki

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: zhao    Tuesday, September 25, 2012 15:46:47   
 
Sio kwamba kila muarabu ni muislam,sio kwamba kila anozungumza kiarabu ni muislam,sio kwamba kila anovaa kanzu za kusalia kwa wanaume ni muislam.
Hasara kwako 8)

 
 
Mtoa Maoni: FREE MAN    Tuesday, September 25, 2012 17:17:34   
 
Hawa ni waarabu lkn ni wakristo wanaitwa ma copte ikiwa ni madhehebu za Cprus, Greece, Nicosia na Egypte wala haijulikani sala ao ibada zao vipi wanaabudu na wana hela nyingi sana
 
 
Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Tuesday, September 25, 2012 20:13:51   
 
Kuna dhehebu moja tawala linaitwa Alawi hapo Syria. Wanaimani za ajabu eti kua Aly radhiallahu anhu ana uungu. Kwao kila kilicho haramu wao hawajali. Siku moja niliingia Kabab shop moja England nilipoanza kula nikasema bismillah, muuzaji wahio sehemu akashangazwa na kuniambia nchini kwao kuna watu wanamtaja Mungu kabla hawajala.

Sasa watu kama hawa kuimba msikitini kuna ajabu gani? Allah hana haraka na mtu yeyote anaefanya fujo dunia hii, miaka 100 toka leo sijui wangapi katiyetu atabak

 
 
Mtoa Maoni: afidh    Tuesday, September 25, 2012 21:12:53   
 
acheni kutetea hao askari wote ni waislamu tena wanaswali kuliko wewe wameamua kuburudika sababu maisha yao yapo hatarini wanajipumzisha tu
 
 
Mtoa Maoni: JUDEX    Tuesday, September 25, 2012 23:01:19   
 
Haza muswibat kabira, qul- Inna Lillahi wainna Ilayhi Raajiuu'n. Inna-llaha Ma'aswabiruun. Almauti Haqqi, Al-Qabri Haqqi, Al-Qiyamma Haqqi, wa Al-Hukmu Haqqi.

Almight Allah Stipulate in The Holy Qur-an Chapter 98 Verse 8
"Na malipo yao yatakuwa ni katika Moto wa 'Jahannam'. Moto ambao watakaa humo milele.

Mwenyezi Mungu atuepushe na adhabu zake. Amin Amin.

 
 
       Jumla kuna maoni (550), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD