Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Ukisikia Siku Ya Kufa Haijawasili...

NewsImages/6608222.jpg
Tuesday, September 25, 2012 2:47 PM
Kama siku ya kufa haijafika basi hata kwenye hatari kubwa mtu huponyoka kimiujiza, mwanaume huyu wa nchini Urusi ameponyoka kutoka kwenye mlango wa kifo katika hali ambayo hata yeye mwenyewe hajui imekuwaje.
Mwanaume huyo alikuwa akiendesha lori kwenye barabara kubwa nchini Urusi ambapo alikutana na lori lililobeba kontena ambalo dereva wake alishindwa kulikontroo na kulifanya liingie kwenye barabara ya magari yanayokuja toka upande wa pili wa barabara.

Baada ya kugongwa na lori hilo na gari lake likielekea kugongana na lori lingine uso kwa uso, mwanaume huyo alichoropoka kupitia kwenye kioo cha mbele cha gari bila ya kuumia wala kupata mchubuko hata kidogo.

Video ya ajali hii imekuwa gumzo duniani kila kona watu wakishangaa ujasiri na njia aliyotumia mwanaume huyo kunusuru maisha yake.

Angalia VIDEO chini.


VIDEO - Ukisikia Siku Ya Kufa Haijawasili...

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Rukya    Tuesday, September 25, 2012 15:01:01   
 
Amshukuru sana mungu wake kwa kumuoka.
 
 
Mtoa Maoni: ubuguvu    Tuesday, September 25, 2012 15:19:40   
 
siku yake haijafia ikifika atakufa tu
 
 
Mtoa Maoni: Mzenga    Thursday, September 27, 2012 01:27:32   
 
Du! Jamaa bado anapendwa na mungu.
 
 
Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Thursday, September 27, 2012 12:52:20   
 
Kuwahi kufa, au kuchelewa sio kipimo cha kupendwa na Mungu, ila kitendo chako cha mwisho ndio kitakua hukumu yako, na jinsi utivyokufa ndio utafufuliwa. Inategemea jamaa alikua anafanya nini kabla ile trela haijampa ubavu. Kama alikua ktk harakati za kutafuta ukweli ili amuabudu Mungu, basi bora angekufa pale na angekua amefaulu kuliko angelikua na mipango ya kwenda kumuasi Allah na kufa pale, angekua na hasara. Sasa amtafute Mola wake kwa bidii, apate kujua maana ya uhai,na sababu zake.
 
 
Mtoa Maoni: alobadilijina    Tuesday, October 02, 2012 09:14:43   
 
Je ni nani alipiga picha hiyo ya video na kwanini alipiga? picha hiyo imepigwa kwa makini mpaka dereve kuvutwa karibu aonekane anavyochoropoka garini. Jambo hili haliwezekani katika barabara kuu na katka hali isiyotegemewa. hii ni 'danganya toto'
 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD