Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame

NewsImages/6537850.jpg
Mchezaji wa Timu ya Azam Fc, Khamis Mcha (22) akipichuana kuwania mpira na Shomari Kapombe wa Simba, wakati wa mchezo Kombe la Kagame uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha Muhidini Sufiani)
Wednesday, July 25, 2012 3:26 AM
Vijana wa Msimbazi, Simba, wameshindwa kuwika kwenye kombe la Kagame mbele ya Azam na kukubali kichapo cha mabao 3-1 na kuhitimisha safari yake kwenye kombe la Kagame mwaka huu.
Magoli matatu yaliyofungwa na John Boko wa Azam yalitosha kuwanyamazisha Simba na kuwang'oa kwenye kombe la Kagame.

Simba iliyokuwa ikipewa matumaini ya kufanya vizuri kwenye kombe hili ilishindwa kuwika kwa timu ya Azam ambayo inafundishwa na kocha Muingereza Stuart Hall.

John Boko aliifungia Azam goli la kwanza kwenye dakika ya 17 ya kipindi cha kwanza kabla ya kuifungia Azam magoli mawili kwenye kipindi cha pili kwenye dakika za 46 na 73.

Goli la kufutia machozi la Simba lilifungwa na Shomari Kapombe kwenye dakika ya 53.

Azam ambayo ilianzishwa miaka mitano iliyopita ikimilikiwa na Bakhresa, imejiwekea rekodi ya kufika nusu fainali kwenye mashindano haya makubwa Afrika Mashariki.

Azam sasa itacheza na timu ya AS Vita siku ya alhamis katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo huku Yanga ikikutana tena kwa mara ya pili na APR ya Rwanda.

Fainali ya kombe hilo itachezwa jumamosi ambapo mshindi atachukua kitita cha dola 30,000 za Marekani wakati mshindi wa pili ataambulia dola 20,000.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ubuguvu    Wednesday, July 25, 2012 09:14:37   
 
hawa simba hatusikii habari zao mpaka wafungwe by the way Yanag wanazani watawafunga hawa wauza askreem au wanafurahi kukoka na kichapo cha bao 5-0 ndo wanafurahia wakijua Muza unga wa ngano hatuwafunga kiwangocho kikubwa cha magori kama Simba
 
 
Mtoa Maoni: Fanuel Gasper    Wednesday, July 25, 2012 09:23:39   
 
Mi naamini simba kafanya makusudi kwa kuogopa kukutana na Yanga!
 
 
Mtoa Maoni: HUTIVINU    Wednesday, July 25, 2012 09:30:19   
 
Kinachozungumzwa hapa ni kuwa Simba imefungwa magoli 3-1 na Azam na hatiame katolewa katika kombe la Kagame, suala la wana Yanga kufurahi kutokana na kufungwa mabao 5-0 au dhana kuwa Yanga isitegemea kuwafunga wauza Ice mream sio 'subject'. Tujifunze kuchangia mada kimantiki, hivi bado kuna Watanzania hadi leo hawajui kuchangia mada, kwa nini kama hujui hunyamazi kimya, Cha Ubuguvu jifunze kwanza kabla ya kuchangia.Toa maoni yatakayowasaidia wenzako.
 
 
Mtoa Maoni: salum    Wednesday, July 25, 2012 17:52:06   
 
wamachiga wamepewa ashikirim wamejisahau wamewekwa 3 sasa wachiiye waruditena wakutane na yanga watapewa mikate wata chapwa 6 pigahisabu jinala { mikate} linaherufugapi siyo simba tumbiri
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Sunday, July 29, 2012 07:50:26   
 
TEH TEH TEH,UBUGUVU USHAURI HUO,OH SHAURI YAKO,TEH TEH TEH
 
 
       Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD