Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo

NewsImages/6532066.jpg
Mshambuliaji hatari wa Yanga, Said Bahanuzi akishangilia moja ya magoli yake kwenye kombe la Kagame
Tuesday, July 24, 2012 1:01 AM
Timu ya Yanga imesonga mbele kwenye kombe la Kagame na kutinga nusu fainali baada ya kuibanjua timu ya Mafunzo ya Zanzibar na kuitupa nje ya mashindano kwa mikwaju ya penalti.
Penati ya mwisho iliyopigwa na Athuman Idd 'Chuji', imeipeleka timu ya Yanga katika hatua ya Nusu Fainali katika michuano ya Kombe la Kagame, wakati wa mchezo wa Robo Fainali uliochezwa leo jioni katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kati ya Yanga na Mafunzo.

Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1 huku Mafunzo ikiwa ya kwanza kuandika bao lake katika dakika ya 35.

Hadi timu hizo zinakwenda mapumziko Mafunzo ilikuwa mbele kwa bao 1-0, baada ya kuanza kwa kipindi cha pili kwenye dakika ya kwanza tu ya kipindi cha pili Said Bahanuzi, aliiandikia bao timu yake ya Yanga, bao ambalo lilidumu hadi kumalizika kwa dakika 90 za mchezo huo.

Mbabe wa mechi hiyo alilazimika kupatikana kwa njia ya mikwaju ya penalti ambapo Yanga ilifunga penalti zote huku Mafunzo wakikosa penati moja.

Katika mchezo wa kwanza APR imeichapa URA mabao 2-1, na kesho Simba watakutana na Azam.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: U    Tuesday, July 24, 2012 09:49:00   
 
urojo tu hawa ngoja tukutane fainal tuta piga 5 tena
 
 
Mtoa Maoni: Make    Tuesday, July 24, 2012 10:24:16   
 
Urojo simba
 
 
Mtoa Maoni: yVZigLOtnCyU    Wednesday, September 05, 2012 17:07:33   
 
That's a subtle way of thiknnig about it.
 
 
Mtoa Maoni: pCEshIjmFgUyPRu    Friday, September 07, 2012 18:46:38   
 
PmJJ5t , [url=http://keeyafqbagjr.com/]keeyafqbagjr[/url], [link=http://vzhmizigfgzd.com/]vzhmizigfgzd[/link], http://nrsofonnlttx.com/
 
 
Mtoa Maoni: xIKcLcWnXHRQHkc    Saturday, September 08, 2012 23:39:22   
 
ZO6djb , [url=http://ctxjiprsafou.com/]ctxjiprsafou[/url], [link=http://tchzeazwoqcd.com/]tchzeazwoqcd[/link], http://fwtdtxbtmypj.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (15), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD