Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda

NewsImages/6515678.jpg
Mshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu akijaribu kumdhibiti mchezaji wa timu ya URA ya Uganda, Derrick Walulya kushoto
Monday, July 16, 2012 6:59 AM
Mabingwa wa ligi kuu ya soka wa Tanzania Bara, Simba wameshindwa kuwika kwenye mechi yao ya kwanza ya kombe la CECAFA Kagame Cup na kukubali kichapo cha mabao 2-0 toka kwa timu ya URA ya Uganda.
Siku moja baada ya Yanga kubugizwa 2-0 na timu ya Atletico ya Burundi, Simba nao wameshindwa kutamba kwenye mechi ya ufunguzi wa kundi A kwenye kombe la CECAFA Kagame Cup na kukubali kipigo cha mabao 2-0 toka kwa URA ya Uganda.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, magoli yote mawili ya URA yaliyoizamisha Simba yalifungwa na Feni Ali.

Katika mechi nyingine ya kombe hilo AZAM FC ilianza mechi yake ya kundi B ya kombe hilo kwa sare ya 1-1 na timu ya Mafunzo ya Zanzibar katika mechi kali iliyochezwa kwenye uwanja wa soka wa Chamazi Stadium unaomilikiwa na Azam FC ambao una uwezo wa kuchukua jumla ya watazamaji 5,000.

Katika mechi ya awali iliyochezwa kwenye uwanja huo huo jana, Vita Club ya Kongo iliigaragaza vibaya timu ya Port ya Djibouti kwa kuibugiza mabao 7-0.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ubuguvu    Monday, July 16, 2012 08:55:12   
 
hii habari ipo kishabiki zaidi inaonyesha wazi mashabiki wa YANGA alikuwa akiomba Simaba ifungwe, eti Simba Nayo Yabugizwa 2-0 hii kauli inaonyesha kwamba ulitujuza na kutufahamisha kufungwa kwa yanga hali ambayo si kweli kufngwa kwa yanga hamukueka habari tena bao hizo hizo tena na kitimu kibovu, mukauchuna kufungwa Simba munaleta, bongo team inamiliki kiwanja kinaingia watu 5,000 kama ukumbi wa bongo flava.
 
 
Mtoa Maoni: godwin    Monday, July 16, 2012 17:42:33   
 
ha ha ha huku ni kukwepa hoja ya msingi,timu ya tanzania inayodaiwa kufanya vizuri zaidi kwenye mechi za kimataifa ndiyo hiyo imepokea kichapo sawa na yanga.ndio tatizo la kutegemea magoli ya matuta,siku refa asipotoa penati hakuna ushindi,poleni
 
 
Mtoa Maoni: Adan mtata    Tuesday, July 17, 2012 12:38:46   
 
yanga pamoja na tofauti zetu za kimchezo zaidi kwa kichapo cha mvua 5 ktk kutetea ubingwa wenu bila mafanikio,linapokuja suala la utaifa tupeane kolabo kombe la kagame libaki katika ardhi ye2. hata kiula juma kippa analijua hilo kwamba mnyama ni noma!

 
 
Mtoa Maoni: FFOKynAXIxouhBz    Wednesday, September 05, 2012 12:21:43   
 
That's a nicely made answer to a challenging quetsion
 
 
Mtoa Maoni: CCwRXzWTMLRXZqq    Friday, September 07, 2012 00:48:12   
 
W1oAYe , [url=http://lzzxawposigi.com/]lzzxawposigi[/url], [link=http://iykhbcxtuvuo.com/]iykhbcxtuvuo[/link], http://xlpbannhdbqs.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (18), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD