Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu

NewsImages/6478082.jpg
Didier Drogba atua China
Thursday, June 21, 2012 2:12 PM
Mshambuliaji hatari wa Chelsea ya Uingereza, Didier Drogba ameikacha Chelsea baada ya kuitumikia kwa miaka minane na kuingia mkataba na timu ya Shanghai Shenhua ya China ambapo atakuwa akilipwa kitita cha dola milioni 15 kwa mwaka.
Mwezi mmoja baada ya kuiwezesha Chelsea kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa wa ulaya, Didier Drogba amemfuata rafiki yake Nicolas Anelka na kuingia mkataba wa miaka miwili na nusu na timu ya Shanghai Shenhua ya China.

Anelka ni mchezaji na kocha msaidizi wa timu hiyo ya jiji la Shanghai.

Katika mkataba huo mpya, Drogba atakuwa akilipwa kitita kisichopungua paundi laki mbili kwa wiki ambapo timu hiyo inayoshika nafasi ya katikati kwenye ligi kuu ya China iko tayari kumlipa Drogba dola milioni 15 kwa mwaka.

"Nimeangalia ofa zote nilizowekewa mezani katika wiki chache zilizopita na nafikiri nimetoa uamuzi sahihi kwa kujiunga na Shanghai Shenhua", alisema Drogba katika tovuti yake binafsi.

"Niko tayari kwa changamoto zitakazokuja, kujifunza tamaduni mpya na kuliendeleza soka la China", aliongeza Drogba.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G aka    Thursday, June 21, 2012 15:21:32   
 
Hongera Droo. kaza buti, maisha yako ni maisha yako!
Jitangaze na zidi kuitangaza nchi yako ikibidi na utaifa wako wa Kiafrika!
HONGERA!!

ZeeLaMikenuo JAMROCK sasa tushakuletea Droo ukouko, we si ulikuwa na hamu yakumuona na mjino yako iyoo.. sasa usikosekane viwanjani.. KDDDK! T3H T3H T3H T3H!

 
 
Mtoa Maoni: babu    Friday, June 22, 2012 01:53:58   
 
Namnaa hio drogba

 
 
Mtoa Maoni: OSAMA MTOTO    Friday, June 22, 2012 12:46:50   
 
Ndio Drogba Unapopata tumia unapokoxa jutia
 
 
Mtoa Maoni: andrew maganga    Friday, June 22, 2012 15:30:21   
 
vuna pesa baba drogba
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Monday, June 25, 2012 16:11:55   
 
TEH TEH TEH,HAYA J_G NDIO HIVYO DROGBA AKIMALIZA MKATABA HUKU LAZIMA ATAKUWA ANAPIGA KICHINA KAMA HANA AKILI NZURI,ILA SIJUI KAMA ATAWEZA HUKU,MAANA MISOSI YA HUKU NA KULE ALIPOTOKA NI TOFAUTI KABISA,HIVYO MSISHANGAE MKAANZA KUMUONA AFYA INA MGOGORO,TEH TEH TEH
 
 
       Jumla kuna maoni (7), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD