Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30

NewsImages/6455910.jpg
Kelvin Yondani akisaini mkataba na Yanga
Friday, June 08, 2012 7:49 PM
BEKI wa Simba Kelvin Yondani, ameitosa Simba na kuamua kujiunga na watani wao wa jadi Yanga baada ya kushikishwa Tsh. milioni 30 ili amwage wino wa mkataba wa miaka miwili.
BEKI wa Simba Kelvin Yondani ameitosa Simba na kutimukia Yanga ambapo ameingia mkataba wa miaka miwili.

Yondani amewaomba mashabiki wa soka na viongozi wa Yanga kumtambua kuwa kwa sasa yeye ni mchezaji halali wa klabu ya Yanga na kudai kuwa hajawahi kusaini mkataba mpya wowote na Simba na amesema yeye amesaini Yanga tu mkataba wa miaka miwili.

Yondani amesema Simba wanampakazia kusaini mkataba mpya "Nawataka wapenzi wote wa soka Tanzania watambue kwamba kuanzia sasa mimi ni mchezaji halali wa Yanga", alisema Yondani.


Yondani alisema kuwa awali aliikana Yanga kwa sababu walimsainisha fomu bila kumkabidhi kitita cha fedha, lakini leo ameamua kuweka wazi maamuzi yake na kuweka wazi uwazi baada ya kukabidhiwa kitita chake cha Sh. Milioni 30 taslimu na kumalizana katika mambo yote ya mkataba.

 
Na Muhidini Sufiani    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G aka    Friday, June 08, 2012 20:25:10   
 
Kazinjema bro..kaza buti uchezee kimataifa ht km itakuwa Burundi au Eritrea.. poa tu!!
 
 
Mtoa Maoni: OSAMA MTOTO    Friday, June 08, 2012 21:15:58   
 
Hatushangai kwani hata KASEJA aliondoka simba na akarudi simba pale bana ataruditu mana bado ajapewa talaka
 
 
Mtoa Maoni: Mang    Saturday, June 09, 2012 03:19:30   
 
Timu za bongo noma tupu! Milioni 30!!! zinamtoa roho? Hivi simba hawana milioni 30? Mwenye pesa mpishe! Ajabu haijulikani Yanga wanapata wapi pesa? Kwa nini wanashindwa kuwalipa makocha na wachezaji wao? Au ndio uongozi mbaya? Kwa nini Yanga hawana maandalizi mazuri kwa mechi za kimataifa? au ndio ile uongozi uchwara? Yanga iliwapasa wajengi kianja cha mpira cha kisasa sio kuspend kujinga! Aibu kwa timu za TZ hazina hata viwanja! Klabu pekee Tz yenye hadhi ya kuiwa klabu ni AZAM! Hongera!
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Saturday, June 09, 2012 03:44:08   
 
TEH TEH TEH,MOMOS AKA J_G,UMEONA WEKUNDU WALIVYOTAPAKA HAPO MEZANI?NAFIKIRI NAWE KWA KUPENDA KUIGA KAZI ZA WATU NI LAZIMA UJITAHIDI KUCHEZA MPIRA KUDADEKI,HIVYO KAZA BUTI,NAWE WAKUTAMBAZIE WEKUNDU KIASI HICHO,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: tafaki    Saturday, June 09, 2012 09:02:34   
 
hakuna sheria tanzania vipi mchezaji anaonyeshwa pesa na anasaini mkataba sasa swali yeye alikuwa na timu ya taifa vipi aliondoka kabini bila ruhusa na unaonyeswa pesa na unakubali inamaana ukupewa hungo utakubali kwa ufupi mpria wako sasa umekwisha hakuna timu kama simba sababu wachezaji wengi wanapocheza simba wanakuwa maarufu na wewe unamkataba na simba sasa utakosa yote sio simba wala yanga na pia yanga hata mishaara hawapi wachezaji elewa hilo umeumia kama utakuwa yangu angalia usifug
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD