Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Simba Yaitafuna Al Ahly ya Sudan 3-0

NewsImages/6383610.jpg
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwachambua wachezaji wa Al Ahly Shandy ya Sudan
Monday, April 30, 2012 1:53 AM
Timu ya soka ya Simba iko kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye kombe la shirikisho CAF baada ya kuibamiza timu ya Al Ahly Shandy toka Sudan kwa jumla ya mabao 3-0.
Aungurumapo Simba nani husimama? hiyo ni kauli ambayo imethibitika tena jijini Dar es Salaam pale vijana wa mtaa wa Msimbazi walipounguruma mbele ya vijana wa timu ya Al Ahly Shandy ya Sudan na kuwabugiza jumla ya mabao 3-0.

Nyota wa mchezo huo ambao hadi mapumziko ulikuwa 0-0, alikuwa ni mshambuliaji hatari wa Simba toka Uganda, Emmanuel Okwi.

Simba ingeweza kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa goli moja lakini penalti iliyopigwa na Patrick Mafisango iliota mbawa.

Magoli yote matatu ya Simba yalifungwa kipindi cha pili na Haruna Moshi, Patrick Mafisango kabla ya Okwi kuhitimisha karamu ya magoli.

Kocha wa Simba, Milovan Circovic akiongea baada ya mechi alisema kuwa ana uhakika Simba itaweza kuulinda vyema ushindi wake nchini Sudan wakati timu hizo zitakaporudiana baada ya wiki mbili.

Simba ikifanikiwa kuing'oa Al Ahly itapambana na mojawapo ya timu itakayokuwa imetolewa kutoka kwenye hatua ya mtoano kwenye kombe la mabingwa wa Afrika.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G aka    Monday, April 30, 2012 11:54:47   
 
hONGERA SANA SIMBA. ILA SOKA LA BONGO tz KIUJUMLA NI KIPINDUPINDU.. UKWELI USEMWE!!! kdddk!!
UBUGUVU, MINA wa J_G Restini ini peaci KDDDK too!

 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Tuesday, May 01, 2012 04:59:34   
 
TEH TEH TEH,HAYA WAZEE WA MIPIRA MPO,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: Sure    Tuesday, May 01, 2012 06:58:43   
 
Sudani kusini, si ndio?
 
 
Mtoa Maoni: UXHXXzBT    Tuesday, June 19, 2012 05:23:03   
 
I went to tons of links bfoere this, what was I thinking?
 
 
Mtoa Maoni: dWplnhodlzopMi    Wednesday, June 20, 2012 03:01:46   
 
cmEkH6 , [url=http://qhhliubkloxk.com/]qhhliubkloxk[/url], [link=http://mqqjglekqkzo.com/]mqqjglekqkzo[/link], http://bgdohlxmqapi.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD