Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Simba Yasonga Mbele Kombe la CAF, Yaitupa Nje ES Setif

NewsImages/6339266.jpg
Emmanuel Okwi
Saturday, April 07, 2012 5:09 AM
Vijana wa Msimbazi, Simba wamefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Kombe la shirikisho la Afrika baada ya kuwatupa nje ya mashindano timu ya ES Setif ya Algeria.
Bao lililofungwa na Emmanuel Okwi kwenye dakika za majeruhi za kipindi cha pili, lilitosha kuifanya Simba isonge mbele pamoja na kuburuzwa na Es Setif ya Algeria kwa mabao 3-1 katika mechi iliyochezwa nchini Algeria.

Katika mechi ya awali iliyozikutanisha timu hiyo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Simba ilishinda kwa kuichapa ES Setif mabao 2-0.

Katika mechi hiyo iliyochezwa majira ya saa mbili usiku kwa saa za Tanzania, Simba imesonga mbele kwa faida ya goli la ugenini.

Bao pekee la Simba katika mechi hii lilifungwa kwenye dakika ya 91 na mchambuliaji hatari toka Uganda, Emmanuel Okwi.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G aka    Saturday, April 07, 2012 06:38:05   
 
Natakakujua hili.. hizi hbr za michezo huletwa pindi tu timu zetu zikishindaama inkuajee! yakhee? mechi ya mwanzo hatujasikia neno hapa.. iweje leo tena??? KDDDK! km munatoa munatoa zote.. NIF.com vipi? alaah!

ZHAO RIP sambamba na (SEMY)

 
 
Mtoa Maoni: ubuguvu    Saturday, April 07, 2012 09:44:04   
 
hongera sana SIMBA hii inanipa moyo kuwa sikufanya makosa kuipenda,
simba ndo timu pekee tanzania inayoweka kuliwakilisha taifa kikamilifu na wakalinda hishima ya nchi yetu

 
 
Mtoa Maoni: Mang    Saturday, April 07, 2012 10:44:55   
 
Hongera Simba kwa kupata mafanikio na kutuletea heshima. Pia nazitakia timu nyingine za Tz ziwe na mafanikio kwani kuwa na timu moja tu inayofanikiwa nchini Tz si kitu cha kufurahia wala kujivunia sana! tunataka maendeleo kwa watanzania wote sio ile watanzania wote waangamie sintojali ikiwa mimi nafanikiwa! kama wanavyofanya viongozi wa CCM. Sio mbaya kwao raia walio wengi wakiteketea endapo wao wanasonga mbele kimafanikio yao binafsi! Napenda maendeleo ya jamii nzima!
 
 
Mtoa Maoni: kheri killiza    Friday, April 20, 2012 18:02:04   
 
Ni vyema simba wakacheza angalau mechi moja ya kimataifa kabla hawajacheza mechi yao na wasudan
 
 
Mtoa Maoni: KFOgwXayOrvuHQr    Tuesday, June 19, 2012 07:50:24   
 
I really appreciate free, scucicnt, reliable data like this.
 
 
       Jumla kuna maoni (6), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD